Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA NDANI YA JIMBO LA PERAMIHO MKOANI RUVUMA LEO.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA NDANI YA WILAYA YA NJOMBE MKOANI NJOMBE.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Ludewa mjini kabla ya kuanza kuwahutubia ,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo na kuhudhriwa na maelfu ya watu.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Ludewa waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo.

Mgombea Ubunge wa jimbo...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI,LEO KUUNGURUMA JIMBO LA VUNJO MKOANI KILIMANJARO

Wakazi wa  eneo la Kwa Mangi kata ya Kibosho Kati  wakimsikiliza   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia,Kinana aliwaeleza wananchi hao kuwa kuna baadhi ya watu wanaotaka nafasi za Uongozi wamekuwa wakijipitisha pitisha kuomba uongozi,hivyo amewaonya na kuwatahadharisha kutojipitisha pitisha kugombea nafasi za uongozi kabla ya muda kuisha na kutangazwa.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa  Kwa Mangi kata ya Kibosho Kati ambapo...

 

11 years ago

Michuzi

JK azindua rasmi stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma, Barabara ya Peramiho -Mbinga

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa jiwe la Msingi kuzindua rasmi stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma leo.Rais Kikwete yupo mkoani Ruvuma Katika ziara ya Kikazi kukagua miradi ya maendeleo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la msingi kufungua rasmi Barabara ya kilometa 78 ya Peramiho –Mbinga mjini  Julai 19,2014.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Wairi wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bwana...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla kikazi ndani ya jimbo la peramiho-songea.

 Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akiangalia kwa makini taarifa ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji lililopo eneo la Luyelela kijiji cha Lugagala jimbo la Peramiho, Songea. Kulia kwa Naibu Waziri ni Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bw. Juma Ally na kushoto kwake ni Mhandisi wa Maji Songea vijijini Bw. John a. Undiri.

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA KWIMBA MKOANI MWANZA LEO

Sehemu ya Umati wa wakazi wa wilaya ya Kwimba na vitongoji vyake wakiwa wamekusanyika katika mkutano wa hadhara,Uwanja wa Mpira wa Ngudu, wilayani humo, wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri uwanjani hapo,wakati Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana alipokuwa akihitimisha ziara yake ndani ya jimbo hilo la Kwimba jioni ya leo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Mpira wa Ngudu,Ndugu Kinana alikemea tabia ya wapinzania kuwahadaa vijana nchini...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA SUMVE MKOANI MWANZA LEO.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea kadi za Chadema kutoka kwa vijana 20 waliojiunga na CCM na wanachama wapya zaidi ya 1520 walipewa kadi zao za CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Sumve. Katika ziara yake kwenye jimbo la Sumve Katibu Mkuu wa CCM amepokea kadi 48 kutoka Chadema ikiwa 28 zilizorudishwa katika kijiji cha Goloma kata ya Mwadu. kadi za Chadema kutoka kwa vijana 20 waliojiunga na CCM na wanachama wapya zaidi ya 1520 walipewa kadi zao za CCM kwenye mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani