Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla kikazi ndani ya jimbo la peramiho-songea.

Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akiangalia kwa makini taarifa ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji lililopo eneo la Luyelela kijiji cha Lugagala jimbo la Peramiho, Songea. Kulia kwa Naibu Waziri ni Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bw. Juma Ally na kushoto kwake ni Mhandisi wa Maji Songea vijijini Bw. John a. Undiri.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
NAIBU WAZIRI WA MAJI MHE. AMOS MAKALLA ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAJI MUFINDI NA SONGEA

Naibu Waziri wa Maji,Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Mufindi na Songea. Akiwa wilayani Mufindi, Mh Makalla amekagua mradi mkubwa wa Maji wa ikilimanzoo na kuelekeza mkandarasi aukamilishe haraka. Aidha Naibu Waziri huyo wa Maji amekagua na kutoa cheti kwa jumuiya ya watumia maji Mkongotema na Magingo (MAMKO). Leo Ijumaa ataendelea na ziara yake...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Ziara ya naibu waziri wa Maji Amos Makalla jimbo la Mchinga-Lindi
Naibu waziri wa Maji Amos Makalla ameendelea na ziara katika mkoa wa Lindi na leo amefanya ziara katika jimbo la Mchinga kwa kutembelea vijiji vya Kitohavi na LIHIMILO ambavyo vina shida ya maji kwa muda mrefu huku serikali ikiwa ameviweka vijiji hivyo katika mpango wa Matokeo ya haraka Akiongea katika mikutano ya hadhara ameagiza uongozi wa halmashauri ya Lindi kuchimba visima virefu ndani ya wiki mbili kwa kuwa wizara yake ilishatuma fedha za kuchimbia visima hivyo na haoni sabababu za...
10 years ago
VijimamboNAIBU WAZIRI WA MAJI MH. AMOS MAKALLA AKAGUA MRADI WA MAJI KATIKA MJI WA GEITA
Naibu waziri wa maji Amos Makalla leo ametembelea mradi unaotekelezwa kwa ushirikiano wa serikali na mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM) wa uboreshaji huduma ya maji kwa mji wa Geita
Mradi huu unagharimu fedha sh 10 bilioni ambao kukamilika kwake kutaongeza huduma ya...
10 years ago
Vijimambo
NAIBU WAZIRI WA MAJI MH AMOS MAKALLA AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI KIJIJI CHA MKONGO NAKAWALE

Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Namtumbo pamoja na mambo mengine amezindua mradi mkubwa Maji kijiji cha Mkongo Nakawale ambao watu zaidi ya 4000 wanapata Maji safi.
Aidha amekagua mradi wa Maji Milonji na ametoa agizo hadi kufikia tarehe 12 mei mwaka huu mkandarasi awe amekamilisha kuchimba...
11 years ago
Michuzi.jpg)
NAIBU WAZIRI WA MAJI MHE AMOS MAKALLA ATEMBELEA MIRADI YA MAJI MIKOA YA PWANI NA DAR ES SALAAM
Naibu Waziri wa Maji, Mhe Amos Makalla ameanza ziara yake ya siku nne ya kukagua miradi ya maji katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam kwa kutembelea tenki la maji la Chuo Kikuu cha Ardhi na mradi wa maji Ruvu Juu. “Serikali hailengi tu kuleta maji, ila pia kutatua tatizo la upotevu wa maji. Bali, tumejiandaaje kupokea maji ya kutosha kutokana na mradi mkubwa unaoendelea Ruvu Juu. Hivyo, hatuna budi kukarabati au kujenga kabisa upya matenki yote mabovu kabla ya kuanza kupata maji...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla avamia mkoa wa Dar es salaam, abaini wizi mkubwa wa maji
Naibu waziri Maji Mhe Amos Makalla leo amefanya ziara ya kustukiza mkoa Dar es salaam, ambapo amekamata wezi wa maji 12, amewatimua kazi mameneja wa maji Boko na Kimara na pia ametangaza operasheni kubwa zaidi ya kusaka wezi wa maji jijini Dar es salaam
Naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akiangalia miundombinu ya wizi wa maji Magomeni
Naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akitembelea kitongoji cha Manzese kusaka wezi wa maji
Naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akiangalia matenki...
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi26 Aug
ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA KATIKA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA UJENZI WA MAJI MKOA WA DAR ES SALAAM



10 years ago
Michuzi.jpg)
Ziara ya naibu waziri wa maji Amos Makalla Mbeya vijijini
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla amefanya ziara ya vijiji mbalimbali Mbeya Vijijini ambako amezindua mradi mkubwa maji vijiji vya Shongo na Igale maelfu wafurahia. Katika ziara hiyo kaagiza wakala wa visima (DDCA) kuchimba kisima kirefu kijjiji cha Mjele kutekeleza ahadi ya mhe Rais Jakaya Kikwete kuwaokoa wananchi maelfu kufuata maji umbali wa kilomita 7. Pia ametoa ahadi ya kuanza utekelezaji wa mradi wa maji wa maji vijiji vya Iwindi,Mwashiwawala na Izumbwe ambao ulisimama baada...
10 years ago
MichuziZIARA YA NAIBU WAZIRI MAJI AMOS MAKALLA MJINI GEITA
NAIBU waziri wa maji Amos Makalla leo ametembelea mradi unaotekelezwa kwa ushirikiano wa serikali na mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM) wa uboreshaji huduma ya maji kwa mji wa Geita, Mradi huu unagharimu fedha sh 10 bilioni ambao kukamilika kwake kutaongeza huduma ya upatikanaji maji kutoka asilimia 13 iliopo sasa hadi kufikia asilimia 57.
Kwa mujibu wa tathmini ya kazi iliyofanyika mradi huu unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi august mwaka huu na naibu waziri wa maji ameagiza...
Kwa mujibu wa tathmini ya kazi iliyofanyika mradi huu unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi august mwaka huu na naibu waziri wa maji ameagiza...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania