Ziara ya naibu waziri wa Maji Amos Makalla jimbo la Mchinga-Lindi
Naibu waziri wa Maji Amos Makalla ameendelea na ziara katika mkoa wa Lindi na leo amefanya ziara katika jimbo la Mchinga kwa kutembelea vijiji vya Kitohavi na LIHIMILO ambavyo vina shida ya maji kwa muda mrefu huku serikali ikiwa ameviweka vijiji hivyo katika mpango wa Matokeo ya haraka Akiongea katika mikutano ya hadhara ameagiza uongozi wa halmashauri ya Lindi kuchimba visima virefu ndani ya wiki mbili kwa kuwa wizara yake ilishatuma fedha za kuchimbia visima hivyo na haoni sabababu za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziZIARA YA NAIBU WAZIRI MAJI AMOS MAKALLA MJINI GEITA
Kwa mujibu wa tathmini ya kazi iliyofanyika mradi huu unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi august mwaka huu na naibu waziri wa maji ameagiza...
10 years ago
MichuziZiara ya naibu waziri wa maji Amos Makalla Mbeya vijijini
11 years ago
MichuziZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA MKOANI MOROGORO
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean...
9 years ago
MichuziZiara ya naibu waziri wa maji Amos Makalla wilayani sengerema, Mwanza
11 years ago
GPLZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI MHE. AMOS MAKALLA WILAYANI MANYONI
11 years ago
MichuziZiara ya naibu waziri maji Mhe Amos Makalla wilaya ya manyoni
10 years ago
MichuziZiara ya naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla mjini Babati
10 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla kikazi ndani ya jimbo la peramiho-songea.