Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI TABORA LEO

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora kwenye mkutano wa kampeni za CCMMgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitoa Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Tabora waliofurika kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia anataka kujenga Tanzania mpya yenye kuleta maendeleo kwa wananchi wote.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

DK MAGUFULI AKIWA KATIKA VIWANJA VYA ULYANKULU WILAYA YA KALIUA TABORA LEO.

Wananchi wakiwa katika viwanja vya Ulyankulu wilayani Kaliua  Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli leo katika viwanja vya Ulyankulu wilayani Kaliua mkoani  Tabora  leo katika kampeni za kuwania nafasi hiyo mkoani humo.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI ATANGAZA NEEMA TABORA

Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli,akiwahutubia Wananchi wa Tabora jioni ya jana kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa  Ali Hassan Mwinyi.Dkt Magufuli alisema kuwa Serikali yake kwa sehemu kubwa itakuwa upande wa wananchi wanyonge ili hatimaye wawe na maisha yenye neema na kwenye hilo ana uhakika atafanya kazi nzuri maana kwake yeye ni kazi tu na hakuomba kuwa Rais ili awe mwanasiasa bali anaomba...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aahidi makubwa Tabora na Kigoma

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameahidi kushughulikia matatizo yanayowakabili wananchi wa kata ya Nguruka, jimbo la Kigoma Kusini yeye mwenyewe na kusema atakayechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo amwachie yeye kazi hiyo.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AZIDI KUCHANGA MBUGA MKOANI TABORA

  Magufuli akiwa katika Jimbo la Ulyanhulu. Magufuli akiomba kura kwenye Jimbo la Kaliua. Magufuli akiomba kura Jimbo la Urambo.…

 

10 years ago

Michuzi

DKT. MAGUFULI AANZA ZIARA MKOANI TABORA

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwahutubia wananchi wa Sikonge mkoani Tabora wakati alipopita kukagua barabara za mkoa huo. Dkt. Magufuli aliwaahidi wananchi hao wa Sikonge kuwa Serikali itaanza ujenzi wa barabara ya Mpanda-Tabora kupitia Sikonge yenye zaidi ya kilomita 359 itakayofadhili na Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiagana na wananchi wa Sikonge mara baada ya kuwahutubia.Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ludovick Mwananzila kushoto akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

kinana aiteka tabora leo

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Stendi ya zamani mjini Tabora, ukiwa ni wakuhitimisha ziara yake ya siku 11 mkoani Tabora. 
 Kinana akihudumiwa na Mama Lishe alipokwenda kula yeye na msafara wake kwa akina mama lishe eneo la Stendi Mpya Tabora mjini kabla ya kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Munde Tambwe.  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa...

 

10 years ago

Michuzi

WANA CCM MKOANI SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA WAJITOKEZA KUMDHAMINI WAZIRI MAGUFULI

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Nzega Mkoani Tabora.Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika Mkoa wa Shinyanga.Baadhi ya Wadhimini waliojitokeza kumdhamini Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AFANYA MKUTANO WA KAMPENI BUKENE,NZEGA JIONI KUUNGURUMA TABORA MJINI

  Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Nzega mapema leo mchana katika uwanja wa Barafu,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,Dkt Magufuli anatarajia kuunguruma jioni ya leo mjini Tabora. Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Nzega mapema leo mchana katika uwanja wa Barafu,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,Dkt Magufuli anatarajia kuunguruma jioni ya leo mjini Tabora. Wakazi wa Nzega mkoani Tabora wakimsikiliza mgombea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani