Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHAFALI YA 12 CHUO KIKUU ZANZIBA (ZANZIBAR UNIVERCITY

 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mh. Haroun Ali Suleiman (katikati),akiwa na baadhi ya uongozi wa Chuo Kikuu Zanzibar wakati wa mahafali ya 12 yaliyofanyika katika viwanja  vya  chuo hich Tunguu Wilaya ya Kati Unguja WAHITIMU wa fani mbalimbali katika mahafali ya 12 ya Chuo kikuu cha Zanzibar (ZU),wakiwa kwenye gwaride lililoandaliwa kwa ajili ya kuwatunuku shahada mbalimbali huko katika viwanja vya chuo hicho Tunguu jana.  BAADHI ya wazee wa wanafunzi wa Chuo kikuu Zanzibar (ZU) wakiwa katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 12 CHUO KIKUU ZANZIBAR (ZANZIBAR UNIVERSITY)

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mh. Haroun Ali Suleiman (katikati),akiwa na baadhi ya uongozi wa Chuo Kikuu Zanzibar wakati wa mahafali ya 12 yaliyofanyika katika viwanja vya chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.WAHITIMU wa fani mbalimbali katika mahafali ya 12 ya Chuo kikuu cha Zanzibar (ZU),wakiwa kwenye gwaride lililoandaliwa kwa ajili ya kuwatunuku shahada mbalimbali huko katika viwanja vya chuo hicho Tunguu jana.BAADHI ya wazee wa wanafunzi wa Chuo kikuu Zanzibar (ZU) wakiwa katika...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA SUMAIT ZANZIBAR CHAFANYA MAHAFALI YAKE YA KUMI NA NNE

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamhuna akiongoza wahadhiri na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sumait Chukwani kuingia katika kiwanja cha Mhafali. Wa kwanza (kulia) kaimu Makamu Mkuu wa chuo hicho Prof. Hamad Rashid Hikmany (kushoto) Mwenyekiti wa Baraza la chuo Dkt. Abdulrahman Al Muhailan. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.Baadhi ya wahitimu wa chuo Kikuu cha Sumait wakiwa kwenye maandamano kuingia uwanja wa mahafali.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.

Mkuu wa chuo kikuu kikuu cha St, John Askofu Dolnad Mtetemela katikati akiwa na viongozi wa kanisa la anglikan ambalo ndilo mmiliki wa chuo hicho walipokuwa kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho. Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Philip Alfred aliyekuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali ya tano ya wanafunzi wa chuo kikuu cha St, John's cha mjini Dodoma akihuwahutubia wahitimu wa kozi mbalimbali wa chuo hicho. Mkuu wa Skuli za kidini akihutubia jambo kwenye mahafali hayo.Wahitimu wa Shahada ya sayansi...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA 10 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA) LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)  akitoa  hutuba yake katika mahfali ya 10 ya chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimkabidhi zawadi Hamad Abdalla Nassor akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA KUMI NA MOJA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR "SUZA"

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatama na Viongozi wakuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar katika maandamano wakati wa mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 yaliyofanyika leo chuoni hapo Tunguu wilaya ya kati Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika...

 

11 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA 11 CHUO KIKUU HURIA MANYARA

 Baadhi ya wahitimu 70 wa mahafali ya 11 ya Chuo kikuu huria cha Mkoani Manyara, wakishiriki mahafali hayo juzi kwenye uwanja wa kwaraa mjini Babati.  Baadhi ya wahitimu 70 wa mahafali ya 11 ya Chuo kikuu huria cha Mkoani Manyara, wakishiriki mahafali hayo juzi kwenye uwanja wa kwaraa mjini Babati.  Wapuliza tarumbeta wa shule ya sekondari Madunga Wilayani Babati wakiwa kwenye mahafali ya 11 ya Chuo kikuu huria cha Mkoani Manyara, juzi kwenye uwanja wa kwaraa mjini Babati. Picha ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Mahafali ya Chuo Kikuu Huria yafana Rwanda

Na Mwandishi Wetu
CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), kimefanya mahafali yake ya 28 katika kituo cha uendeshaji kilichopo mjini Kibungo, Wilaya ya Ngoma nchini Rwanda.
Mahafali hayo yaliyofanyika Machi 20, mwaka huu yalihudhuriwa na wageni mbalimbali akiwamo Mkuu wa chuo hicho, Dk. Asha-Rose Migiro ambaye aliwatunuku wahitimu shahada mbalimbali.
Mahafali hayo yaliyohusisha wahitimu 25 wa shahada za uzamili, yamekuja baada ya kufanyika kwa mahafali ya 26 Novemba mwaka jana, Kibaha mkoani...

 

9 years ago

Dewji Blog

Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) chafanya mahafali ya kwanza

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi  (MoCU) Pius Msekwa akitunuku Shahada ,Stashahada na Astashahada kwa wahitimu wa Chuo hicho wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo hicho. Wahitimu wa kozi mbalimbali waliohitimu katika Chuo Kikuu cha Ushirika mjini Moshi,(MoCU) Miongoni mwa wageni waalikwa alikuwepo pia Mbunge wa jimbo la Moshi mjini, Jafary Michael. Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika (MoCU) Profesa Faustine Bee akizungumza wakati wa sherehe za mahafali ya kwanza ya Chuo hicho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani