Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHAFALI YA CHUO CHA UKUTUBI YALIVYOFANA BAGAMOYO

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAHAFALI YA NANE YA CHUO CHA WAALIMU WA SHULE ZA AWALI CHA NEW MONTESSORI TEACHERS COLLEGE YALIVYOFANA

 Mkurugenzi Mtendaji na Mkuu wa Chuo hicho, Denis Msangi akizungumza na wahitimu katika mahafali hayo yaliyofanyika Shule ya Msingi ya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana.   Mkurugenzi Mtendaji na Mkuu wa Chuo hicho, Denis Msangi (kushoto), akizungumza katika mahafali hayo.  Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Haris Kapiga akisisitiza jambo wakati akizungumza na… ...

 

11 years ago

Michuzi

Chuo cha Kilimo na mifugo Kaole, Bagamoyo, Kufanya mahafali ya pili Jumamosi hii Julai 12, 2014

 Na Andrew Chale, BagamoyoCHUO  cha Kilimo na Mifugo Kaole (Kaole College of agriculture (KCA), kesho Jumamosi Julai 12, kinatarajia kufanya mahafali yake ya pili chuoni hapo huku wahitimu  291, wakitarajiwa kutunukiwa vyeti mbalimbali.Akizungumza mjini hapa,  principle wa chuo hicho,  Cuthbert Liwa alisema kuwa, tayari maandalizi yamekamilika na mahafali hayo yatafanyika kwenye viwanja vya chuo hiko.“Jumla ya wahitimu 291, wanatarajiwa kuhitimu na kutunukiwa  vyeti vyao.   Kati ya hao,...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA 10 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA) LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)  akitoa  hutuba yake katika mahfali ya 10 ya chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimkabidhi zawadi Hamad Abdalla Nassor akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA KUMI NA MOJA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR "SUZA"

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatama na Viongozi wakuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar katika maandamano wakati wa mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 yaliyofanyika leo chuoni hapo Tunguu wilaya ya kati Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUNUKU WAHITIMU WA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI KATIKA MAHAFALI YA KOZI YA PILI

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Kanali James Ruzibiza Stashahada ya Usalama na Stratejia (Diploma in Security and Strategic Studies) katika mahafali ya Kozi ya Pili ya Chuo Cha Taifa cha Ulinzi (NDC) chuoni hapo Kunduchi jijini Dar es salaam leo Julai 26, 2014. Kanali Ruzibiza, ambaye anatokea Rwanda, ni mmoja wa washiriki tisa wa kozi waliotoka nchi za nje. Washiriki wengine kutoka nje y nchi walitoka Kenya, Malawi, Namibia, Nigeria, Uganda, zambia na...

 

10 years ago

Vijimambo

CHUO CHA MUZIKI CHA TRIPLE J SOUND & MUSIC COLLEGE KIMEFANYA MAHAFALI YAKE YA KWANZA.

Mgeni rasmi Mchungaji Sunday Matondo akitoa hotuba katika mahafali ya kwanza ya chuo cha Muziki cha Triple J. Mkurugenzi wa Chuo cha muziki cha Triple j sound & music college, Dk. Leonard Maboko, akizungumza katika mahafali hayo.Mhitimu wa Chuo cha Triple J akisoma risala kwa mgeni rasmi katika mahafali yao.Afisa Fedha na Utawala wa Chuo cha Trple J, Mrs Leah Chifunda akitoa utambulisho kwa wageni na wazazi katika mahafali.Mkuu wa Chuo cha Triple J, Caleb Mwanjoka akitoa neno la shukrani kwa...

 

10 years ago

GPL

MAHAFALI YA CHUO CHA IMTU YAFANA

Wahitimu wa Chuo cha IMTU kilichopo Mbezi beach wakiwa kwenye mahafali. Wahitimu hao wakila kiapo. Ndugu wa wahitimu wakifuatilia mahafali hayo kwa karibu…

 

9 years ago

Global Publishers

Taswira za mahafali ya chuo cha DSJ leo

1.Baadhi ya wahitimu wa chuo cha Uandishi wa Habari cha Dar es Salaam School Of Journalism (DSJ) wakiwa kwenye picha ya pamoja.Baadhi ya wahitimu wa Chuo cha Uandishi wa Habari cha DSJ wakiwa kwenye picha ya pamoja.
2.Wakijipanga katika mstari.4.Wahitimu hao wakiwa katika pozi  tofauti.Wahitimu hao wakiwa wamejipanga vizuri wakati wa kupiga picha za kumbukumbu.
3.Wahitimu hao wakijipiga picha za selfie.Wahitimu wakijipiga picha za ‘selfie’.
5.Baadhi ya wahitimu hao wakiketi sehemu yao iliyokuwa imeandaliwa.Wahitimu wakiwa katika pozi tofauti.
6.wahitimu hao wakisubiri utaratibu uliokuwa ukiendelea ukumbini hapo.Baadhi ya wahitimu wakiwa makini kufuatilia kile kilichokuwa kikiendelea ukumbini hapo.
7.Baadhi ya wazazi wakiwa kwenye hafla hiyo.Baadhi ya wazazi wakiwa kwenye mahafali hiyo.
8.Wazazi wakiendelea kufuatilia hafla hiyo.Wazazi hao wakiwa makini kufuatilia mambo yanavyoendelea kwenye mahafali hiyo.
9.Wahitimu hao wakiwa wametokelezea.Wahitimu wakiwa wametokelezea.

LEO Ijumaa ya...

 

11 years ago

Habarileo

JK mgeni rasmi mahafali Chuo cha Kodi

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya Chuo cha Kodi. Mahafali hayo ya sita yanatarajiwa kufanyika kesho katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere. Kaimu Mkuu wa Chuo hicho, Charles Sabuni, alisema hayo leo alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu mahafali hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani