MAHAKAMA NKASI YAMUAMURU MUME KUJENGA NYUMBA YA MTALAKA WAKE
Maria Tarafa (wa kwanza kushoto) akiwa na watoto wake wanne aliozaa na Ndebile Kazuri akiwa amekaa kwenye kifusi cha sehemu ya nyumba anayokaa, mumewe ameibomoa nyumba hiyo ili kumfukuza eneo hilo. MAHAKAMA ya mwanzo Mjini Namanyere, Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa imetoa amri ya kumtaka Ndebile Kazuri kujenga nyumba ya aliyekuwa mke wake Maria Tarafa iliyopo kijijini Isale ambayo aliibomoa akishinikiza mtalaka wake aondoke eneo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bTQ94SQ5wOI4YZmhdEzy8qlEdI-pb50oI*SRXDspMmVWb-ff1v5z4KYgshBdo6WoMPF24GCyK13GvZ2TYnQh9ekbZ4lzHzFg/1NdebileKazurianayedaiwakumpamimbamwanafunzidarasalasaba.jpg)
MAPYA YAIBUKA NDOA ILIYOVUNJWA NA MAHAKAMA NKASI, YADAIWA MUME ‘ALIMBAKA’ MWANAFUNZI…!
11 years ago
Habarileo22 Dec
Mume, mke wamng’oa mdomo mtalaka
JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linafanya uchunguzi kuhusu tukio la mume na mke kumshambulia mtalaka wake Faustina Komba (35) mkazi wa jiji la mbeya kwa kumpiga ngumi, makofi na kumng’ata mdomo wake wa chini na kuuondoa wote.
11 years ago
Dewji Blog05 May
PSPF kujenga nyumba 200 za kuwakopesha wanachama wake Singida
Mkuu wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma (PSPF) mkoa wa Singida, Bw. Saidi Majimoto, akihamasisha wanafunzi wa ualimu kujinga na mfuko wa PSPF ili kujihakikishia kupata mafao ya kukidhi mahitaji.Kushoto ni afisa wa PSPF, Andrew Mtima.
Baadhi ya wanafunzi wa ualimu chuo cha Lake Hill mjini Singida,wakimsikiliza mkuu wa mfuko wa pensheni kwa watumisi wa umma (PSPF), Saidi Majimoto (hayupo kwenye picha)akiwahamasisha kujiunga na mfuko huo ili kufaidika na mafao lukuki.
Bango la...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Mrembo, mwanamitindo aliyeuawa kikatili pamoja na mtalaka wake Venezuela
TASNIA ya urembo na maigizo duniani imepata pigo kufuatia mauaji ya mrembo aliyewahi kutwaa taji la Venezuela mwaka 2004, aliyeuawa pamoja na mtalaka wake. Monica Spear akiwa na mumewe Thomas...
10 years ago
Mwananchi21 Jun
KUELEKEA MAJIMBONI: ccm itapigwa saa mbili asubuhi Nkasi Kusini na nkasi kaskazini
10 years ago
GPLSHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LAZINDUA MAUZO YA NYUMBA ZAKE ZA VICTORIA PLACE, DAR