Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAPYA YAIBUKA NDOA ILIYOVUNJWA NA MAHAKAMA NKASI, YADAIWA MUME ‘ALIMBAKA’ MWANAFUNZI…!

Ndebile Kazuri anayedaiwa kumpa mimba mwanafunzi darasa la saba. Nkasi-Rukwa SAKATA la ndoa iliyovunjwa na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Nkasi, Mkoa wa Rukwa limeingia katika sura mpya baada ya uchunguzi zaidi kubainika kuwa mume aliyeiomba mahakama ivunje ndoa yake, Ndebile Kazuri alimkatisha mke masomo ya elimu ya msingi mkewe baada ya kumtia ujauzito akiwa darasa la sita. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari ambazo mwandishi wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mapya yaibuka ndoa iliyovunjwa na mahakama

SAKATA la ndoa iliyovunjwa na Mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Nkasi, Rukwa limeingia katika sura mpya baada ya kubainika kuwa mume aliyeomba kuvunjwa kwa ndoa yake, Ndebile Kazuri, alimkatisha masomo...

 

10 years ago

Bongo Movies

MAPYA YAJITOKEZA: Yadaiwa kuwa “Mpenzi” wa LULU aliyefariki alikuwa mume wa mtu.

Habari zinazoendelea kutufikia kwenye meza yetu zinadai kuwa marehemu Seki aliyefariki ghafla hapo jana  ambaye pia anadaiwa kuwa mpenzi wa mwanadada Elizabeth Michael – LULU alikuwa ni mume wa mtu na ameacha mjane na watoto.

Kwa mujibu wa mtoa habari wetu huyu marehemu Lusekelo maarufu kama seki alikuwa ni mfanyabiashara hapa mjini mwenye biashara kadhaa na alikuwa na uwezo mzuri tu wa kifedha.

Habari za uhakika zinasema kuwa Chanzo cha kifo cha Bw Seck kilisababishwa na kumuokoa mtoto...

 

11 years ago

GPL

MAHAKAMA NKASI YAMUAMURU MUME KUJENGA NYUMBA YA MTALAKA WAKE‏

Maria Tarafa (wa kwanza kushoto) akiwa na watoto wake wanne aliozaa na Ndebile Kazuri akiwa amekaa kwenye kifusi cha sehemu ya nyumba anayokaa, mumewe ameibomoa nyumba hiyo ili kumfukuza eneo hilo. MAHAKAMA ya mwanzo Mjini Namanyere, Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa imetoa amri ya kumtaka Ndebile Kazuri kujenga nyumba ya aliyekuwa mke wake Maria Tarafa iliyopo kijijini Isale ambayo aliibomoa akishinikiza mtalaka wake aondoke eneo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MARIA TARAFA: Mume wangu aliidanganya mahakama ikavunja ndoa

NOVEMBA 18, 2013 Mahakama ya Mwanzo, Namanyere, Wilaya ya Nkasi iliamua kuvunja ndoa ya Ndebile Kazuri na Maria Tarafa wote wakazi wa Kijiji cha Isale, mji mdogo wa Namanyere, Wilaya...

 

10 years ago

GPL

MAPYA YAIBUKA!

Stori: Denis Mtima na Gabriel Ng’osha
Nyuma ya tukio la denti wa darasa la tano kwenye shule moja ya msingi iliyopo Mbezi-Shamba, Dar, aliyejitambulisha kwa jina moja la Irene (11) la kunaswa akifanya utapeli kwa kuwaibia raia, mazito yameibuka. Denti wa darasa la tano anayetambulika kwa jina moja la Irene (11) aliyenaswa akiwatapeli raia. Katika tukio hilo lililojiri hivi karibuni maeneo ya Posta Mpya, Dar, denti huyo...

 

10 years ago

GPL

MAPYA YAIBUKA MASHAMBULIZI

Na Haruni Sanchawa TUKIO la abiria Mosha Mahona kuwajeruhi abiria wenzake watano aliokuwa nao ndani ya daladala lililokuwa gumzo wiki iliyopita jijini Dar, nyuma ya tukio hilo mapya yameibuka, Uwazi linakujuza. Tukio hilo lililotokea Julai 23, mwaka, Mosha alikuwa amepanda daladala hilo akitokea Posta kuelekea Ubungo Simu 2000, alipofika maeneo ya Jangwani akaanza kuwachoma visu abiria wenzake kisha na yeye kuuawa na abiria....

 

10 years ago

Mtanzania

Mapya yaibuka mkoani Tanga

Na Amina Omari, TANGA
JESHI la Polisi nchini limesema katika msako unaoendelea katika mapango ya Mleni mkoani hapa, ambayo watu wanaodaiwa kuhusika katika matukio ya uporaji silaha walikuwa wamejificha, wamefanikiwa kukuta ngedere watatu wakiwa wamekufa huku wakiwa na majeraha.
Pamoja na hilo pia jeshi hilo limefanikiwa kumtia mbaroni mtuhumiwa mmoja ambaye wamemkuta na bunduki aina ya SMG ambayo ni mali ya jeshi hilo pamoja na risasi 20.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani