MAHAKAMA YAAMURU RAIS MTEULE WA BURUNDI AAPISHWE HARAKA
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionJenerali Ndiyashimiye kuapishwa kabla ya Agosti.Mahakama ya kikatiba ya Burundi imeamua kuwa rais mteule Meja Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye aapishwe urais mara moja na hakutakuwa na rais wa mpito.Toka kutangazwa kifo cha Nkurunziza mapema wiki hii kumekuwa na ombwe la uongozi nchini humo.Katiba ya nchi hiyo inaeleza kuwa spika wa bunge atatakiwa kuchukua nafasi hiyo kwa mpito pale rais anapofariki. Hata hivyo Spika Pascal Nyabenda...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-ys5PabB9MgI/XuS2A-r0FjI/AAAAAAACNKY/j3GEJ6WjTK8hNAhokKx1YwCpzXGihDipQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200613_135908.jpg)
RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA KWA SIMU NA RAIS MTEULE WA BURUNDI, LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-ys5PabB9MgI/XuS2A-r0FjI/AAAAAAACNKY/j3GEJ6WjTK8hNAhokKx1YwCpzXGihDipQCLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200613_135908.jpg)
Rais Dk. John Magufuli amezungumza kwa njia ya simu na Rais Mteule wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye na kumpongeza kwa uamuzi wa Mahakama ya Katiba nchini Burundi iliyoagiza Rais Mteule aapishwe haraka.
Katika mazungumzo hayo, Rais Magufuli amemtakia heri Rais Mteule Ndayishimiye kuelekea kuapishwa kwake kuwa Rais wa Burundi kutakakofanyika hivi karibuni.
Rais Magufuli amemhakikishia Rais Mteule Ndayishimiye kuwa Tanzania itaendeleza na kukuza...
5 years ago
CCM Blog26 May
MJUE RAIS MTEULE WA BURUNDI
![Evariste Ndayishimiye pumping fist in the air](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/11C79/production/_110652827_gettyimages-958494228.jpg)
5 years ago
BBCSwahili25 May
Evariste Ndayishimiye: Mfahamu rais mteule wa Burundi na mwandani wa Nkurunziza
5 years ago
BBCSwahili08 Jun
Rwanda yampongeza rais mteule wa Burundi, je huu ndio mwanzo mpya?
5 years ago
MichuziSAMIA KUONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE WA BURUNDI
![](https://1.bp.blogspot.com/-1QVCI14ON2o/Xun2S0DpRlI/AAAAAAALuN8/pARAbTTXRuIAwZUjLJ5EI9P29XHTwJiHQCLcBGAsYHQ/s640/01.png)
![](https://1.bp.blogspot.com/-6k7qwmTfgWY/Xun2OVW3vAI/AAAAAAALuN4/4mvpZHjfeH82VqTFkup-AVo4SVS6OopJwCLcBGAsYHQ/s640/02.png)
10 years ago
BBCSwahili14 May
Mahakama yaamuru la Liga kuendelea
10 years ago
Habarileo22 Sep
Mahakama yaamuru maiti afukuliwe
MAHAKAMA ya Ardhi na Nyumba Wilaya ya Arusha, imeamuru maiti aliyezikwa wiki iliyopita afukuliwe na kuzikwa eneo lingine katika Kijiji cha Ngaramtoni wilayani Arumeru, kutokana na mgogoro wa ardhi.
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Mahakama yaamuru Maiti ifukuliwe
MGOGORO wakugombea Mwili wa mzee Cleophas Senga (80) Mkazi wa Chanji, Wilayani hapa, mkoani Rukwa, umechukua sura mpya baada ya Jeshi la Polisi kufukua maiti ya mzee huyo kwa amri...
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Mahakama yaamuru wananchi kulipwa fidia
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, imeiamuru Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuwalipa fidia wananchi 43 wanaoishi kandokando ya barabara ya Mianzini hadi Timolo, ili wapishe upanuzi wa barabara hiyo yenye...