Maharusi waoana ndani ya bwawa la maji
Maharusi wawili nchini Polland walifanya harusi yao katika bwawa lenye lita milioni 1.5 za maji ya bahari ambalo hutumiwa kwa mafunzo ya upigaji mbizi .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi30 Aug
Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda
![](https://2.bp.blogspot.com/-utueJlLvcrc/VAEFt9bWIqI/AAAAAAAAXXc/60Yejvxm-3s/s1600/Modesta%2BMushi.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-dJAlQfjgYfw/VAEFtuoqMYI/AAAAAAAAXXY/p7ed-tfkWT8/s1600/Mhandishi%2BJohn%2BKirecha.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/g7CYaJh1SvLuGfe*gDKzGkS8WV63zi63mPHP0ygdvsL6YQSLKA0ozti-Qa--5S5foeXaGNOdC9o1ZprSQfrqcTnN1NDiQIGq/d1.jpg?width=650)
BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
10 years ago
Habarileo30 Aug
Ada ya maji ‘yatotesha’ uwezo bwawa la Mtera
UONGOZI wa mtambo wa kuzalisha umeme wa maji wa Mtera, umeiomba Serikali iangalie upya suala la ada ya maji inayotozwa na Wizara ya Maji, bila kuzingatia kiwango halisi cha uzalishaji wa mtambo huo.
11 years ago
MichuziMh. Lowassa azindua bwawa kubwa la maji Monduli
11 years ago
Mwananchi25 Jun
MAJI: Mkopo wa Sh300 bil kujenga Bwawa la Kidunda
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-D_4GbiYCLf0/UvlOI7fALmI/AAAAAAAFMSQ/snzzvDWZRZg/s72-c/unnamed+(77).jpg)
SERIKALI INA NIA NA BWAWA LA KIDUNDA - NAIBU WAZIRI WA MAJI
Mhe. Makalla amezungumza hayo jana wakati alipotembelea kijiji cha Bwira Chini ambacho pamoja na Bwira Juu ni moja ya vijiji vitakavyopisha ujenzi wa bwawa hilo kubwa, kuongea na wananchi ambao wamekua katika hali ya sintofahamu kuhusu utaratibu wa kuhama katika makazi yao kwa ajili ya kupisha ujenzi huo.
“Serikali ina nia na bwawa la Kidunda, ila...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-17zDSY9su3Y/VALq644EpcI/AAAAAAAGXzM/jGvyFe9VIpg/s72-c/1.jpg)
BODI YA WAKURUNGENZI YA DAWASA YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
![](http://2.bp.blogspot.com/-17zDSY9su3Y/VALq644EpcI/AAAAAAAGXzM/jGvyFe9VIpg/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-z0uPS6bT0ig/VALq81MuLtI/AAAAAAAGXzg/GGMazQUAD8E/s1600/2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog30 Aug
Bodi ya ya Wakurugenzi wa DAWASA yatembelea eneo la mradi wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda
Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.
Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John Kirecha...
10 years ago
MichuziKamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji yatembelea Bwawa la Kuzalisha Umeme la Merowe,nchini Sudan
Mradi wa Bwawa la Merowe ni mkubwa katika nchi ya Sudan na mbali na kuzalisha umeme, pia unatumika kwa shughuli za kilimo cha umwagiliaji ambacho kwa aslimia mia kinategemea Mto Nile.
Aidha, mradi wa bwawa hilo pia umechangia kuleta...