Mahojiano na kipindi cha Makutano Show kuhusu kura ya uhuru wa Uskochina somo kwa Muungano wetu
Mahojiano na dadangu Fina Mango katika kipindi chake cha Makutano Show kinachorushwa na kituo cha redio cha Magic FM, Dar es Salaam. Masahihisho: Katika mhojiano hayo nimeeleza kwa makosa kuwa Great Britain inaundwa na England yenye mji mkuu London, Wales yenye mji mkuu Cardiff, na GLASGOW yenye mji mkuu Edinburgh. Niliitaja Galsgow kimakosa badala ya Scotland. Kadhalika, katika mahojiano hayo kuna sehemu nimesema kimakosa kwamba moja ya ugumu ulioikabili kambi ya NO ni jinsi ya kuitetea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL22 Jun
10 years ago
Michuzi11 years ago
Michuzi07 Jun
10 years ago
GPLMAHOJIANO YA WEMA SEPETU KWENYE KIPINDI CHA TAKE ONE
10 years ago
Michuzi10 years ago
Dewji Blog24 May
Kipindi cha Mboni show chaazimisha miaka mitatu kwa kutoa msaada Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar
10 years ago
GPLKIPINDI CHA MBONI SHOW CHAAZIMISHA MIAKA MITATU KWA KUTOA MSAADA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI, DAR
9 years ago
Michuzi