Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHOJIANO YA MILLARD AYO KWENYE KIPINDI CHA SPORAH SHOW

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Top 10 ya news kutoka kwenye YouTUBE ya Millard Ayo wiki hii

10. MSANII WA BONGO FLEVA ALIYEITIWA MWIZI KINONDONI DSM. 9. DIWANI WA CHADEMA ALIYEKUBALI KASI YA MAGUFULI 8. KWANINI MR NICE ANAFANYA MUZIKI KWA NYODO 7. MLUGALUGA – MTANZANIA ALIYEWEZA KUIIGILIZIA SAUTI YA RAIS MAGUFULI 6. NAHREEL ‘ISIELEWEKE VIBAYA KUHUSU HIKI NILICHOSEMA KUHUSU DIAMOND‘ 5. WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ALIVYOGEUZA GARI AKIELEKEA KAZINI 4: NI KWELI MWIMBAJI KIDUMU […]

The post Top 10 ya news kutoka kwenye YouTUBE ya Millard Ayo wiki hii appeared first on...

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano na kipindi cha Makutano Show kuhusu kura ya uhuru wa Uskochina somo kwa Muungano wetu

Mahojiano na dadangu Fina Mango katika kipindi chake cha Makutano Show kinachorushwa na kituo cha redio cha Magic FM, Dar es Salaam. Masahihisho: Katika mhojiano hayo nimeeleza kwa makosa kuwa Great Britain inaundwa na England yenye mji mkuu London, Wales yenye mji mkuu Cardiff, na GLASGOW yenye mji mkuu Edinburgh. Niliitaja Galsgow kimakosa badala ya Scotland. Kadhalika, katika mahojiano hayo kuna sehemu nimesema kimakosa kwamba moja ya ugumu ulioikabili kambi ya NO ni jinsi ya kuitetea...

 

10 years ago

GPL

MAHOJIANO YA WEMA SEPETU KWENYE KIPINDI CHA TAKE ONE

Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu 'Madam' akiwa katika pozi. Host wa kipindi cha Take One, Zamaradi Mketema (kulia) akifanya mahojiano na Wema Sepetu.…

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano Na FRANCIA DTR kwenye kipindi cha Bongo Flava


Katika kipindi cha Sept 26, yalifanyika mahojiano na FRANCIA DTR. Mtanzania anayeishi nchini Uingereza.
Kilimanjaro Studio sasa inakuletea kipindi cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki
Mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi ni Buheti Abdulrahman
Kipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na Balozi Liberata Mulamula kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU

 Balozi Liberata Mulamula akiwasili nje ya jengo lenye studio ya Kilimanjaro tayari kuongea LIVE katika kipindi cha Jukwaa langu kinachorushwa kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 2 usiku saa za Mashariki za Marekanui. anayemfungulia mlango ni Abdul Malik

 Balozi Liberata Mulamula akiendelea kujibu maswali ya watangazaji mahiri Mubelwa Bandio (kulia) na Rose Chitalah (hayupo pichani ) na wasikilizaji waliokua na shahuku ya kumuuliza maswali.  Balozi Liberata Mulamula...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani