Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahojiano Na FRANCIA DTR kwenye kipindi cha Bongo Flava


Katika kipindi cha Sept 26, yalifanyika mahojiano na FRANCIA DTR. Mtanzania anayeishi nchini Uingereza.
Kilimanjaro Studio sasa inakuletea kipindi cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki
Mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi ni Buheti Abdulrahman
Kipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAHOJIANO YA WEMA SEPETU KWENYE KIPINDI CHA TAKE ONE

Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu 'Madam' akiwa katika pozi. Host wa kipindi cha Take One, Zamaradi Mketema (kulia) akifanya mahojiano na Wema Sepetu.…

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na Balozi Liberata Mulamula kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU

 Balozi Liberata Mulamula akiwasili nje ya jengo lenye studio ya Kilimanjaro tayari kuongea LIVE katika kipindi cha Jukwaa langu kinachorushwa kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 2 usiku saa za Mashariki za Marekanui. anayemfungulia mlango ni Abdul Malik

 Balozi Liberata Mulamula akiendelea kujibu maswali ya watangazaji mahiri Mubelwa Bandio (kulia) na Rose Chitalah (hayupo pichani ) na wasikilizaji waliokua na shahuku ya kumuuliza maswali.  Balozi Liberata Mulamula...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na Balozi Amina Salum Ali kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU

Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifafanua jambo ndani ya Kilimanjaro StudioKipindi hiki ambacho kinakujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali kuhusu DEMOKRASIA kuelekea uchaguzi nchini Tanzania
Katika kipindi cha wiki hii tumebahatika kuungana na Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali
Karibu

 

10 years ago

Dewji Blog

AUDIO ya mahojiano na Balozi Amina Salum Ali kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU

balozi Amina

Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifafanua jambo ndani ya Kilimanjaro Studio.

Kipindi hiki ambacho kinakujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015

Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali kuhusu DEMOKRASIA kuelekea uchaguzi nchini Tanzania

Katika kipindi cha wiki hii tumebahatika kuungana na Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali

Karibu

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO FLAVA WAMKUMBUKA MEZ B KWENYE BONANZA LA PSPF

Msanii wa muziki wa kizazi kipya "Bongo Flava, Shilole na wacheza show wake, wakisimama kwa dakika moja kumkumbuka msanii mwenzao wa Bongo Flava, Mez B, mzaliwa wa Dodoma, wakati wa bonanza lililoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Februari 20, 2015. Bonanza hilo lilipambwa na michezo mbalimbali kama vile, soka, netibole, voliboli na muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiongozwa na balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto wa Mjomba band. Wasanii ...

 

9 years ago

Bongo5

Video 25 za Bongo Flava zilizotazamwa zaidi kwenye Youtube mwaka 2015

youtube-logo-name-1920

Kukua kwa teknolojia kumeufanya muziki usambae kwa haraka zaidi katika miaka ya hivi karibuni. Kwa sasa watu wengi huzitazama video za muziki kwenye simu zao zaidi kuliko hata kwenye TV zao.

youtube-logo-name-1920

Infact huanza kuziona video mpya kwenye smartphones zao dakika chache tu baada ya video kuwekwa Youtube.

Mwaka huu zimetoka video nyingi nzuri za muziki lakini si zote zilizopata views nyingi. Tumeangalia video 25 zilizotazamwa zaidi kwa mwaka 2015.
Video hizi ni zile zilizotoka kuanzia January hadi...

 

10 years ago

Vijimambo

WASANII BONGO FLAVA WAMFARIJI AFANDE SELE KWENYE AROBAINI YA MAMA TUNDA

Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele (Kushoto), akitoa nasaha zake wakati wa arobaini ya marehemu mama Tunda, aliyekuwa mke wa msanii huyo. Arobaini hiyo ilifanyika nyumbani kwa marehemu mtaa wa Amani mjini . Wasanii kadhaa kutoka kila pembe ya nchi walihudhuria na katika nasaha zake, Afande Sele aliwaasanii kuendelea na moyo wa kusaidiana miongoni mwao.Baadhi ya wasanii na wenyeji wao, wakiwa kwenye arobaini hiyoWasanii wakiwasili nyumbani kwa Afande SeleOmy Dimpoz, akitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani