Maisha yamebadilika kwa wakazi wa Beijing kufuatia virusi vya Corona
Kwa wengi wa Wachina bilioni 1.4 matembezi, kwa kiasi Fulani, yamezuiwa katika juhudi za kupunguza kusambaa virusi vinavyoua vya Corona. Hii ndio hali katika mji wa Beijing…
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili17 Jun
Virusi vya corona: Mamilioni ya wakazi wa Beijing waamriwa kutotoka nje ya jiji
Shule zimefungwa tena na usafiri kusitishwa huku mji wa Beijing ukithibitisha watu 31 wa ugonjwa wa Covid-19.
5 years ago
BBCSwahili08 Apr
Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku
Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.
5 years ago
BBCSwahili14 Apr
Virusi vya corona: Wakazi 'wanavyotishwa' kudhibiti corona Indonesia
Kijiji kimoja Indonesia chatumia mavazi ya kutisha kuhimiza kukaa mbali na mwengine kwa sababu ya Corona
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya Corona: Maisha ya kutekeleza amri ya kusalia ndani kwa wahamiaji haramu
Takribani wafanyakazi milioni 1 wasiokuwa na vibali Uingereza wanawasiwasi wa kutafuta msaada wakipata corona.
5 years ago
BBCSwahili14 May
Virusi vya corona: China inaweza kuwapima wakazi wote wa Wuhan kwa siku kumi pekee?
Mji wa Wuhan nchini China ulio chanzo cha mlipuko wa Covid-19 imetaka kuwapima wakazi wa mji huo milioni 11 kwa muda mfupi, lakini hatua hii inaweza kufanikiwa?
5 years ago
BBCSwahili31 May
Virusi vya corona: Je mfumo wa maisha ya shule na vyuo utabadilika vipi kutokana na virusi Tanzania?
Nchini Tanzania, maelfu wa wanafunzi wa vyuo na wale wa sekondari wanaomaliza kidato cha sita hii leo wameanza rasmi masomo yao baada ya kuwepo katika likizo ya ghafla kwa muda wa miezi miwili iliyosababishwa na kutokea kwa janga la virusi vya corona.
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Virusi vya corona: Mbinu ya kuwalaza wagonjwa wa corona kifudifudi inavyookoa maisha yao
Kwanini baadhi ya wagonjwa wanaougua Covid-19 hulazwa kifudifudi?
5 years ago
BBCSwahili11 Apr
Virusi vya corona: Je virusi vya corona ni majaribu kiasi gani kwa Afrika?
Ongezeko la visa vya ugonjwa wa Covid-19 ni changamoto kubwa kwa sekta za Afya barani Afrika.
5 years ago
BBCSwahili16 Jun
Virusi vya corona: BBC Africa Eye yabaini jinsi corona inavyoathiri maisha Sierra Leone
Sierra Leone iliathiriwa vibaya na Ebola ilipoyakumba mataifa ya Magharibi mwa Afrika, na sasa Covid-19. Video hii ya BBC Africa Eye, inaangazia athari za corona.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania