Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maisha yetu mafunzo

Nilipokuwa mdogo, kila kitu chavutia, Mama hakuwa na dogo, fimbo alinishikia, Niridhike na vikwetu, vikubwa vitatokea, Maisha yetu mafunzo, japo yote ni mapito.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Zitto: Maisha yetu hatarini

Siku moja kabla ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwasilisha bungeni, ripoti ya uchunguzi wa IPTL kuhusu ufisadi katika akaunti ya Escrow, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Zitto Kabwe amesema amekuwa akipata vitisho ili kuzuia ripoti hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Michezo iwe sehemu ya maisha yetu

Kwa muda mrefu Serikali ya Tanzania imekuwa ikishindwa kutenga fungu la kuendeleza michezo.

 

9 years ago

Vijimambo

Reggae Time ya Pride Fm Oct 3 2015......Siku za maisha yetu

Photo Credits: www.rickey.org
Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

 

9 years ago

Vijimambo

Reggae Time ya Pride Fm Oct 10 2015.....Akisi ya maisha yetu

Photo Credits: http://virtuallythere.wikispaces.comKipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

 

10 years ago

Michuzi

Changia mafunzo ya wakunga, okoa maisha ya mama na mtoto - Amref health africa

Mkurugenzi mkazi wa Amref Health Africa Dkt. Festus  Ilako akizungumzia maendeleo ya kampeni hiyo toka ilipozinduliwa mwaka 2011 na  uwatangaza mabalozi wapya wawili wa kampeni hiyo kuwa ni wasanii mashuhuri, Banana Zoro na Mwasiti Almasi  Nchini Tanzania, wanawake 7,900 hupoteza maisha kila mwaka wakati wa kujifungua. Zaidi ya asilimia 80 ya vifo hivi vingeweza kuepukika endapo wahudumu wa afya  wenye utaalamu wangetoa huduma kwa wakina mama wajawazito wakati wa kujifungua.  Kwa kuamini...

 

9 years ago

Dewji Blog

Vijana wengi wapata mafunzo juu ya maisha na kujiajili katika Kongamano la Msafara lililofanyika UDSM

Aliyekuwa nahodha wa timu ya Taifa ya wanawake 2002-2003 na kuchezea mpira timu hiyo kwa Miaka 15 mpaka anastaafu mwaka huu Esther Chabruma akielezea namna mchezo wa Mpira wa Miguu ilivyoweza msaidia mpaka hapa alipofikia na kuwasihi vijana wasikate tamaa maana kila jambo lina wakati wake jana tarehe 4.12.2015.

Msanii wa sanaa za Maonesho Vanensia Shule, ambaye pia ni Mkufunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam upande wa sanaa na Filamu akielezea jinsi Sanaa inavyoweza kumkomboa kijana na...

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA TUTAMBUE AMANI YETU NI FAHARI YETU.

 Msajili wa Vyama vya  Siasa Jaji Francis Mutungi  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya   utofauti wa itikadi wa vyama ndiyo ukomavu wa demokrasia nchini hivyo ni jambo la busara kuvumiliana na kufanya siasa za kistaarabu, ameyasema hayo wakati  wa  kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam kulia ni Balozi wa Amani Mrisho Mpoto na kushoto ni Balozi wa Amani Christina Shusho. Balozi wa Amani Mrisho Mpoto akifafanua jambo katika kikao hicho leo jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Dewji Blog

Msajili wa Vyama vya Siasa: Mrisho Mpoto na Christina Shusho kuwa mabalozi wa kubeba ujumbe wetu wa amani wa “AMANI YETU FAHARI YETU”

DSC_3048

Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi  (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mapema leo Oktoba 12 juu ya kuhamasisha Amani pamoja na kuwatangaza rasmi wasanii Mrisho Mpoto (kulia)  na Christine Shusho (kushoto) kuwa mabalozi wa amani wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa  katika kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, huku wakibeba ujumbe wa  “AMANI YETU FAHARI YETU”. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).

DSC_3062

DSC_3072

DSC_3070

Picha tatu za Jaji Mutungi zikionyesha msisitizo wa suala la Amani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani