Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maiti ya kichanga yaokotwa Mabibo Dar

Maiti ya mtoto mchanga imeokotwa ikiwa imeviringishwa kwenye kanga na kuwekwa kwenye mfuko wa rambo imeotwa ikiwa imetupwa pembezoni mwa mto uliopo Mabibo External jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Maiti yaokotwa Singida

DSC00179111

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu

Mwili wa mwanaume ambaye hajafahamika jina wala  makazi yake anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 28,umeokotwa maeneo ya Misuna makaburini tarafa ya Mungumaji Singida mjini.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela, amesema mwili huo umeokotwa Agosti 5 mwaka huu saa moja asubuhi ukiwa umetelekezwa kwenye makaburi ya Misuna.

Alisema mwanaume huyo siku ya tukio alikuwa amevaa shati la...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyepotea auawa kikatili, maiti yaokotwa

 Mtoto Nuru Mohamedi (7) ameuawa kikatili na kisha mwili wake kutelekezwa kwenye nyumba ambayo haijakamilika ujenzi iliyo Majohe Kichangani mjini hapa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maiti ya kichanga yazua balaa

MTAFARUKU mkubwa umetokea msibani katika Mtaa wa Kawajense Madukani, Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi baada ya ndugu wa pande mbili kugombania kuuzika mwili wa kichanga, Junia Bacho mwenye mwaka mmoja...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MAITI YAOKOTWA KWENYE MAJI MACHAFU KARIBU NA KIWANDA CHA KAHAWA (COFFEE CURING), MKOANI KILIMANJARO MUDA HUU

Maiti ya Mwanaume anayekadirikiwa kuwa na Umri kati ya miaka 25-35, imeokotwa asubuhi ya leo katika Mfereji wa Maji uliopo jirani na kiwanda cha kukoboa Kahawa (Coffee Curing), maeneo ya Majengo Fire, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.  Baadhi ya wananchi wakishangaa maiti ya mwanaume huyo (haupo pichani) ambaye jina lake na wapi na chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana  Huu ndio mfereji ambako mwili wa mtu asiyejulikana ulikokutwa leo asubuhi Wananchi wakishiriki kuupakiza mwili huo...

 

9 years ago

GPL

KICHANGA CHATUPWA BUNJU DAR

Muonekano wa mwili wa kichanga hicho baada ya kutupwa . Mashuhuda wakiwa eneo la…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Recho azikwa na kichanga chake Dar

SAFARI ya mwisho ya msanii wa filamu, Rachel Haule ‘Recho’ na mwanaye mchanga imefikia tamati jana baada ya kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na kuacha simanzi...

 

10 years ago

GPL

MOTO WAHARIBU BWENI LA WANAWAKE MABIBO, DAR

Wanafunzi wakiwa nje ya jengo lililoungua wakati wakitafakari pakwenda. Sehemu ya paa la jengo hilo iliyoungua. Baadhi ya vitu vilivyookolewa.…

 

10 years ago

GPL

KICHANGA CHANUSURIKA KUFA KWA AJALI YA BODABODA DAR

Sehemu ya uso alipoumia mtoto huyo.…

 

10 years ago

GPL

MOTO WAUNGUZA BWENI LA MABIBO HOSTEL JIJINI DAR

Wanafunzi wakijaribu kuokoa baadhi ya mali kutoka katika bweni la Block B kwenye hosteli ya Mabibo, Dar. Moto ukizidi kuunguza bweni hilo. Moto mkali ukifuka kutoka katika bweni la Block B linaloendelea kuungua hivi sasa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani