Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majaliwa aagiza migogoro ya ardhi ikome

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanaongeza udhibiti na usimamizi wa migogoro ya ardhi kwenye maeneo yao husika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mh. Lukuvi aagiza uongozi wa mkoa wa Manyara kumaliza migogoro ya ardhi kabla ya mwezi Mei mwaka huu

1aMkuu wa mkoa wa Manyara ,Mhe.Joel Nkaya Bendera akizungumza katika kikao cha viongozi wa wilaya zote za mkoa huo kilichofanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Babati, kushoto ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mhe.William Lukuvi na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Babati, Crispin Meela.Mhe.Bendera amesisitiza nidhamu ya kazi katika kuhudumia wananchi na ameapa kuwaondoa watendaji wabovu mkoani humo.

2aWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.William Lukuvi akizungumza katika...

 

5 years ago

CCM Blog

OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA ZATAKIWA KUWA NA DAFTARI LA MIGOGORO YA ARDHI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua ofisi ya ardhi ya mkoa wa Manyara jana. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexzander Mnyeti na kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mary Makondo. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akioongozwa na Kamishna Msaidizi wa Ofisi ya Ardhi mkoa wa Manyara Leonard Msafiri (kushoto) wakati wa uzinduzi wa ofisi ya ardhi ya mkoa huo jana. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara...

 

5 years ago

Michuzi

Migogoro ya ardhi kaa la Moto,Kufunguliwa ofisi za ardhi mikoani kuleta ahueni

Na Amiri kilagalila,Njombe Wananchi mkoani Njombe wamelalamikia kuchelewa kusikilizwa kwa Mashauri ya migogoro ya ardhi na kupelekea kuwaathiri kiuchumi wakati wakiendelea kufuatilia mashauri yanayosikilizwa na baraza ya ardhi. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wananchi wanaofika katika mabaraza ya ardhi yanayosuluhisha migogoro ya ardhi mkoani Njombe ambapo miongoni mwao akiwemo Remigius Ilomo na Geofrey Msambwa wamezungumzia kero wanayoipata na Kwamba Kumekuwa Kukiwaongezea Gharama kubwa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akiongea na wananchi waliojitokeza kuwasilisha kero zao katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo mkoani Iringa. Alisisitiza kuwa Mkoa wa Iringa uharakishe kupima ardhi ya wananchi ili kupunguza migogoro ya ardhi. Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkoa wa Iringa wakimsikiliza Waziri Lukuvi aliposikiliza kero zao katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo Manispaa ya Iringa.


...

 

5 years ago

StarTV

Majaliwa: Viwanda havitasimama kwasababu ya migogoro

SERIKALI imesema kuwa haita kubali kuendelea kusimamisha viwanda kwa sababu wa migogoro baina ya viwanda hivyo na vyama vya ushirika kwa maslahi ya watu wachache na kuwa viwanda vitaendelea kufanyakazi wakati matatizo yakishighulikiwa na serikali. Kauli hiyo inatolewa na waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa ambayo ameitoa alipo tembelea kwenye kiwanda cha Chai cha …

 

11 years ago

Tanzania Daima

Migogoro ya ardhi na athari zake

MIGOGORO ya ardhi imetawala katika maeneo mengi nchini na kusababisha vifo na mali za mamilioni kupotea. Katika kipindi cha mwaka 2013 mwanzoni hadi mwaka huu migogoro ya ardhi imeendelea kufukuta...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Migogoro ya ardhi inadumaza maendeleo’

BAADHI ya wakazi wa mji wa Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani wamesema migogoro kati ya wakulima na wafugaji ni chanzo cha kudumaza maendeleo katika maeneo yao. Wananchi hao katika vijiji tofauti...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Migogoro ya ardhi itatuliwe haraka’

Serikali imeombwa kutatua haraka mgogoro baina ya kampuni inayojihusisha na uchimbaji dhahabu ya Bismark Hotel na wakazi wa Majimoto wilayani hapa, uliodumu kwa miaka takriban 23 kabla ya kuleta madhara makubwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ushivimwa suluhisho migogoro ya ardhi

MIGOGORO ya ardhi katika maeneo mengi hapa nchini yamekuwa na madhara kwa wananchi kwa kusababisha maafa. Mbali ya kusababisha maafa, migogoro hiyo imekuwa ikisababisha kudumaza maendeleo kwenye maeneo yanayokabiliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani