Majaliwa awataka Tamisemi ‘wagawane’ hotuba ya Magufuli
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa amewataka wakurugenzi na wakuu wa idara wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kila mmoja kuipitia hotuba ya Rais John Magufuli na kutekeleza mambo yote yanayowahusu ambayo aliyaainisha wakati akifungua Bunge la Kumi na Moja.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA TAMISEMI DAR
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Breaking News!! Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa aliyekuwa TAMISEMI!
Kitendawili cha nani kuwa Waziri Mkuu tayari jibu limepatikana na sasa ni Kissim Majaliwa ambaye alikuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali ya Mitaa (TAMISEMI) Aliyekuwa akishughulikia Elimu.
Jina hilo la Waziri Mkuu liliweza kupelekwa Bungeni kwa mbwembwe na baadae kusomwa. na kutajwa jina hilo ambalo wengi wa hawakulitegemea.
Bunge lililipuka kwa shangwe kwani ilikuwa ni ‘Surprise’ kwa jina hilo kutajwa Bungeni, kushika nafasi kubwa katika nchi.
Kassim...
10 years ago
GPLNAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI)MH.KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI KAMPENI YA FISTULA MWISHONI MWA WIKI
10 years ago
MichuziHotuba ya Dkt. Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Jimbo la Nzega na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI Alipopokelewa Jimboni Nzega Baada ya Kutangaza Nia Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Nitumie fursa hii kwa namna ya kipekee kuwashukuru nyote kwa kuacha shughuli zenu kuja kunipokea na kushiriki mkutano huu. Mmenipa heshima kubwa sana na mimi nawajibika tu kusema ‘ahsanteni sana’.
Mimi hapa ni aidha mtoto wenu, mjukuu wenu ama mdogo wenu, mnapoacha shughuli zenu...
9 years ago
CCM BlogPICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa
9 years ago
Michuzi9 years ago
Habarileo21 Nov
Wabunge wasifu hotuba ya Magufuli
WABUNGE wamesifu hotuba ya ufunguzi wa Bunge la 11 iliyotolewa bungeni jana na Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Hotuba hiyo ni ufunguzi rasmi wa Bunge la 11, ambapo mkutano wa kwanza wa bunge hilo ulianza Jumanne wiki hii mjini hapa.
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Hotuba ya rais Magufuli Bungeni
9 years ago
Habarileo20 Nov
Majaliwa- Asante Rais Magufuli
WAZIRI Mkuu Mteule wa Serikali ya Awamu ya Tano, Majaliwa Kassim Majaliwa, amesema hakutarajia kama angeteuliwa kushika wadhifa huo, lakini aliahidi kuwa msikivu, muadilifu na mtendaji mzuri.