Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJALIWA KUTANA NA ASKOFU NGONYANI WA LINDI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la LindI Mhashamu, Anthony Ngonyani kwenye Ikulu ndogo ya Ruangwa Desemba 22, 2015.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Anthony Ngonyani kwenye Ikulu ndogo ya Ruangwa Dasemba 22, 2015.(Picha na Ofisi ya Wazri Mkuu)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Majaliwa akutana na Askofu Ngonyani wa Lindi

IMGS6065

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu, Anthony Ngonyani kwenye Ikulu ndogo ya Ruangwa Desemba 22, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS6082

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Anthony Ngonyani kwenye Ikulu ndogo ya Ruangwa Dasemba  22, 2015.

 

9 years ago

CCM Blog

MAJALIWA: KUBADILIKA LINDI INAWEZEKANA

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia wakazi wa Lindi mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja Ilulu ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa ataendelea kuwa pamoja nao na kushirikiana katika kuleta maendeleo katika mkoa huo.
 Mbunge wa Jimbo la Lindi mjini Ndugu Hassan Suleiman Kaunje akihutubia wakazi wa mji huo kwenye uwanja wa Ilulu kwenye mapokezi ya Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye...

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

11 years ago

TheCitizen

Retired Brigadier General Ngonyani

It still is a question that disturbs retired Brigadier Joachim Ngonyani - how was he able to survive with Sh 50,000 a month as pension money for the past 31 years? “I don’t know” he says. It was the grace of God, he adds.

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho


Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa   4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja  baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KWENYE MCHAPALO WA KUZINDUA BUNGE

 Waziri  Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza na  Mke wa Rais Mstaafu wa  Awamu ya Nnne , Mama Salma Kikwete katika hafla fupi  iliyoyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjiniDodoma  baada ya Rais John Magufuli kuzindua Bunge Novemba 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Rais Mstaafu wa  Zanzibar, Aman Abeid Karume katika hafla fupi  iliyofuatia  kuzinduliwa kwa Bunge na Rais John Magufuli kwenye  mjini Dodoma Novemba 20, 2015. Hafla hiyo ilifanyika kwenye...

 

9 years ago

Michuzi

In Loving Memory of Generosa Hilary Ngonyani

Sunrise 01/12/1937  - Sunset 22/08/2012
Three years have passed since you left us to be with the Lord. The pain of your death is as fresh as the day you left us. 

Your anniversary is a painful reminder of our loss. We miss you so dearly mum.  We miss you every day and much more during the family gatherings. We miss your love, guidance, support, friendship and care.  You were our joy, our pillar, our light and our strength.  .

We are comforted by the great moments you shared with us which have...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ngonyani alilia kiwanda cha Mkumbara

MBUNGE wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani (CCM) ameitaka serikali kueleza ina mpango gani wa kukifungua kiwanda cha Mkumbara Tembo Chipboard ili kukuza ajira kwa wazawa mkoani Tanga. Akiuliza swali bungeni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani