MAJAMBAZI WAKAMATWA WAKIJARIBU KUWAKIMBIA POLISI DARAJANI ZANZIBAR
Mmoja kati ya majambazi waliokamatwa akiwa amelala chini baada ya kujeruhiwa na polisi.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAJAMBAZI WALIOVAMIA KITUO CHA POLISI CHA STAKISHARI, WAKAMATWA
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limefanikiwa kuwakamata majambazi watano wanaodaiwa kuhusika na tukio la uvamizi katika kituo cha polisi cha Stakishari kilichopo Ukonga.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema Majambazi hao wamekamatwa Mbagala ambapo katika tukio hilo pia wamekamata pia fedha shilingi milioni 170 na bunduki 16 miongoni mwao ni zile zilizoibiwa katika kituo cha Stakishari.
10 years ago
VijimamboPOLISI WAWAOKOA MAJAMBAZI WALIONUSURIKA KIFO ZANZIBAR
Mmmoja watuhumiwa wa ujambazi katika maeneo ya darajani akiwa chini ya ulinzi wa Polisi akiwa katika gari waliokuwa kulitumia kwa ujambazi huo.aina ya Mtuhumiwa wa ujambazi akiwa ndani ya gari ya Polisi baada ya kupata kipigo kutoka kwa Wananchi wenye hasira wakati wakiwa katika harakati za kutaka kukimbia jirani na skuli ya darajani baada ya kutelekeza gari waliokuwa wakiitumia aina ya Noah.
10 years ago
VijimamboRISASI ZARINDIMA DARAJANI ZANZIBAR
Polisi wenye silaha, wakiwa tayari kukabiliana na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi mapema leo Ijumaa, Januari 23, 2015, kwenye eneo maarufu la kibiashara, Darajani kisiwani Unguja Zanzibar. Mashuhuda wanasema, watu wanne wenye silaha wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakijaribu kufanya uporaji, kwenye eneo hilo, walikabiliana vilivyo na polisi, ambapo walijibizana risasi na kuzua mtafaruku mkubwa kwenye eneo hilo. Ripoti zisizokuwa rasmi zinasema mtu mmoja alipigwa risasi na anasadikiwa...
10 years ago
GPLMAJAMBAZI WAPORA FEDHA MIKOCHENI, WAKIMBIA, WAWILI WAKAMATWA
Gari lililoporwa likiwa na matundu ya risasi. Polisi wakiwa eneo la tukio. Mmiliki wa gari kushoto akitoa maelezo kwa polisi. Askari wa…
10 years ago
VijimamboMajambazi Sugu Wakamatwa Mchana Wa Leo Jijini Dar Wakitaka Kuiba Benki Ya NMB
Majambazi hao wakiwa wametiwa pingu baada ya kukamatwa na jeshi la Polisi jijini Dar. Wananchi wakiwa eneo la Benki ya NMB Sinza-Mori, Dar wakifuatilia tukio hilo. Polisi jijini Dar wamewakamata watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kuiba pesa katika benki ya NMB iliyopo Sinza-Mori, Dar es Salaam.Tukio hilo limetokea mchana wa leo katika Benki ya NMB tawi la Sinza-Mori jijini Dar ambapo majambazi hao walikamatwa wakiwa katika harakati za kutekeleza tukio hilo.Majambazi...
10 years ago
GPLMAJAMBAZI WAKAMATWA WAKITAKA KUIBA KATIKA BENKI YA NMB TAWI LA SINZA-MORI, DAR
Majambazi hao wakiwa wametiwa pingu baada ya kukamatwa na jeshi la Polisi jijini Dar. ...wakiwa chini ya ulinzi. Wananchi wakiwa eneo la Benki ya NMB Sinza-Mori, Dar wakifuatilia tukio hilo.…
10 years ago
MichuziWawili watiwa mbaroni katika tukio la Ujambazi,Darajani Zanzibar mchana wa leo
Watuhumiwa wawili katika tukio la Ujambazi lililotokea Mchana wa leo eneo la Darajani Jua Kali,Zanzibar wametiwa mbaroni baada ya kuzidiwa nguvu na wananchi wenye hasira wakati walipokuwa wakiwakimbia Polisi.
Inadaiwa kuwa watuhumiwa hao walikua watatu na walitaka kuiba katika maduka na mawakala wa huduma za pesa yaliyopo eneo la Mnazi,baada ya kushtukiwa walikimbia na kufukuzana na Polisi hadi katika maeneo ya Darajani ndipo wananchi kwa kushirikiana na polisi wakawadhibiti na...
Inadaiwa kuwa watuhumiwa hao walikua watatu na walitaka kuiba katika maduka na mawakala wa huduma za pesa yaliyopo eneo la Mnazi,baada ya kushtukiwa walikimbia na kufukuzana na Polisi hadi katika maeneo ya Darajani ndipo wananchi kwa kushirikiana na polisi wakawadhibiti na...
10 years ago
MichuziTAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG yenye namba BA172288 na risasi kumi na tatu wakati wa mapambano makali ya ana kwa ana kati ya majambazi na Jeshi la Polisi. Aidha katika tukio hilo majambazi wawili waliuawa kwa risasi wak ati wakijaribu kuwadhuru askari.
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...
11 years ago
MichuziMaalim Seif Sharif Hamad, atembelea maduka mbali mbali ya nguo na viatu katika maeneo ya Mlandege, Mchangani na Darajani Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maduka mbali mbali ya nguo na viatu katika maeneo ya Mlandege, Mchangani na Darajani Zanzibar jana usiku, kuangalia hali ya upatikanaji wa bidhaa hizo katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu ya Eid- El-Fitri. Picha zote na Salmin Said, OMKRMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maduka mbali mbali ya nguo na viatu katika maeneo ya Mlandege, Mchangani na Darajani Zanzibar
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10