Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


POLISI WAWAOKOA MAJAMBAZI WALIONUSURIKA KIFO ZANZIBAR

Mmmoja watuhumiwa wa ujambazi katika maeneo ya darajani akiwa chini ya ulinzi wa Polisi akiwa katika gari waliokuwa kulitumia kwa ujambazi huo.aina ya Mtuhumiwa wa ujambazi akiwa ndani ya gari ya Polisi baada ya kupata kipigo kutoka kwa Wananchi wenye hasira wakati wakiwa katika harakati za kutaka kukimbia jirani na skuli ya darajani baada ya kutelekeza gari waliokuwa wakiitumia aina ya Noah.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAJAMBAZI WAKAMATWA WAKIJARIBU KUWAKIMBIA POLISI DARAJANI ZANZIBAR

Mmoja kati ya majambazi waliokamatwa akiwa amelala chini baada ya kujeruhiwa na polisi.…

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG yenye namba BA172288  na risasi kumi na tatu wakati wa  mapambano makali ya ana kwa ana kati ya majambazi na Jeshi la Polisi.  Aidha katika tukio hilo majambazi wawili waliuawa  kwa risasi wak ati wakijaribu kuwadhuru askari.  
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi yaua polisi hotelini

ASKARI Polisi, Mohamed Mjomba (44) amepoteza maisha baada ya kushambuliwa na majambazi, waliovamia Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Uroa Wilaya ya Kati Unguja.

 

11 years ago

GPL

UNDANI POLISI ALIYEUAWA NA MAJAMBAZI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Going,’ Pwani
JUMANNE, Juni 10, mwaka huu majambazi yapatayo sita, yalivamia Kituo Kidogo cha Polisi Kimanzichana na kupora silaha na baadaye kumuua askari polisi mmoja, mgambo mmoja na kumjeruhi mwingine na kutoweka. Marehemu Venance Mushi enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa mashuhuda, majambazi hayo yalifika katika kituo hicho majira ya saa saba usiku, yakiwa yanakokota bodaboda mbili...

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi yaua Polisi wawili

ASKARI Polisi wawili kutoka Tarafa ya Usoke wilayani Urambo mkoani Tabora, wameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Suzan Kaganda, alisema mauaji hayo yamefanyika juzi saa 2: 30 usiku katika kijiji cha Usoke wilayani Urambo.

 

10 years ago

Mtanzania

Majambazi yatikisa Zanzibar

mtz1Na Mwadishi Wetu, Zanzibar
MAJAMBAZI yametikisa viunga vya Mtaa wa Darajani kisiwani Zanzibar na kusimamisha shughuli za biashara wakati polisi walipowakimbiza na kuamua kutumia risasi za moto.
Tukio hilo lilitokea jana saa nane mchana na kusababisha watu wawili kujeruhiwa na watatu kupoteza fahamu kutokana na vishindo vya risasi na mabomu wakati majambazi hayo yalipotaka kutoroka.
Taarifa zaidi zinasema gari ya majambazi hayo iliwagonga wanawake wawili baada ya kuingia kwa kasi katika eneo...

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAMBAZI WANASWA NA JESHI LA POLISI DAR

 Vijana ambao wametiwa nguvuni kwa tuhuma za ujambazi huku wakiwa wamekamatwa wakiwa na bunduki mbili Wakiwa wamelazwa chini mara baada ya kutiwa nguvuni

 Polisi wakiwa wamelizingira gari lililokuwa likitumiwa na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi ambao wamempora raia mmoja wa kigeni na kufanikiwa kukimbia huku msamaria mmoja ambaye aliwaona na kuamua kuwafuatilia huku akiwasiliana na polisi na hatimaye kufanikiwa kuwatia nguvuni

 

10 years ago

Tanzania Daima

Polisi Dar waua, wakamata majambazi

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewaua majambazi wawili na kuwakamata wanane katika harakati za kupambana na uhalifu wa kutumia silaha. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

Majambazi yavamia, yaua polisi kituoni

Waliouawa wawili, yapora bunduki saba na risasi kibao, Ni tukio la tatu katika miezi saba, IGP atangaza bingo ya milioni 20/-Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu.
Matukio ya kuvamia, kuteka, kuwaua askari na kupora silaha katika vituo vya polisi, yameanza kushamiri nchini, hali inayoashiria hatari iliyopo kwa wananchi kwani sasa majambazi yameanza kuvigeuza vituo hivyo kuwa eneo la kujipatia silaha.

Katika kipindi cha miezi saba sasa kuanzia Juni, mwaka jana hadi Januari, mwaka huu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani