Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJAMBAZI WANASWA NA JESHI LA POLISI DAR

 Vijana ambao wametiwa nguvuni kwa tuhuma za ujambazi huku wakiwa wamekamatwa wakiwa na bunduki mbili Wakiwa wamelazwa chini mara baada ya kutiwa nguvuni

 Polisi wakiwa wamelizingira gari lililokuwa likitumiwa na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi ambao wamempora raia mmoja wa kigeni na kufanikiwa kukimbia huku msamaria mmoja ambaye aliwaona na kuamua kuwafuatilia huku akiwasiliana na polisi na hatimaye kufanikiwa kuwatia nguvuni

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG yenye namba BA172288  na risasi kumi na tatu wakati wa  mapambano makali ya ana kwa ana kati ya majambazi na Jeshi la Polisi.  Aidha katika tukio hilo majambazi wawili waliuawa  kwa risasi wak ati wakijaribu kuwadhuru askari.  
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZ......MAJAMBAZI YATIKISA KATIKATI YA JIJI LA DAR LEO MCHANA, YATIWA NGUVUNI NA JESHI LA POLISI

 Mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbaroni Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni Dar es Salaam leo mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanne. Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa. Watuhumiwa hao wanne wa  ujambazi  wakiwa ndani ya Noah kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi. Kulia ni askari Polisi. Askari kanzu (katikati), ndiye anadaiwa kuwadhibiti majambazi hayo kabla ya...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MAPAMBANO NA MAJAMBAZI TANGA


Paul Chagonja Kamishina wa Polisi-Operedheni na Mafunzo

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi yaua majambazi wawili Dar

Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, wamefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG namba BA172288 na risasi 10 wakati wa mapambano makali ya ana kwa ana kati ya polisi na majambazi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Polisi Dar waua, wakamata majambazi

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewaua majambazi wawili na kuwakamata wanane katika harakati za kupambana na uhalifu wa kutumia silaha. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...

 

11 years ago

GPL

MAJAMBAZI WANASWA WAKIJIANDAA KUFANYA UHALIFU

MAJAMBAZI wawili waliokuwa kwenye pikipiki yenye namba za usajili T 225 CQC aina ya Kapor wamekamatwa wakiwa na silaha wakijiandaa kufanya uhalifu katika kituo cha kuuza mafuta cha Oilcom kilichopo Kongowe-Mbagala, jijini Dar! Majambazi hayo yametiwa mbaroni na askari polisi zaidi ya kumi waliokuwa wamevalia nguo za kiraia wakiwa na magari aina ya Land Cruiser yenye namba za usajili T 148 AEN na T 848 AGF!   ...

 

10 years ago

Habarileo

Majambazi waua polisi 2 kizuizi cha Dar, Pwani

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaASKARI wawili wa Jeshi la Polisi waliokuwa kazini eneo la kizuizi cha polisi cha kijiji cha Kipara Mpakani Vikindu wilayani Mkuranga mkoani Pwani, wameuawa na majambazi na kuporwa silaha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani