Majambazi yapora kininja Sinza
Na Waandishi Wetu
WATU wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa wameficha nyuso zao huku wakiwa wamebeba silaha kali mkononi jana walilisimamisha eneo la Sinza Kijiweni, jijini Dar es Salaam kwa takribani nusu saa baada ya kuvamia gari lililokuwa limebeba pombe aina ya Banana na kupora Sh milioni 34.
Tukio hilo ambalo liliambatana na milio ya risasi takribani sita zilizopigwa hewani lilitokea saa 5:30 mchana katika makutano ya barabara ya Shekilango na Tandale, Sinza Kijiweni.
Watu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi19 Aug
Majambazi yapora wafanyabiashara
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Majambazi yajeruhi, yapora mamilioni
MFANYABIASHARA wa kubadilisha fedha, Alphonce Mwanjela (36) amejeruhiwa kwa risasi kisha kuporwa kiasi kikubwa cha fedha na watu wanaodhaniwa ni majambazi. Mwanjela anayeendesha shughuli zake katika eneo la mpaka wa...
11 years ago
TheCitizen01 Mar
Majambazi yaua, yapora Singida
11 years ago
Habarileo26 Feb
Majambazi yafunga barabara, yapora
KUNDI la watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wakiwa na silaha za jadi, juzi usiku walifunga barabara ya Mbeya – Njombe.
10 years ago
Vijimambo23 Oct
Majambazi yapora Sh15 mil
Dar es Salaam. Matukio ya ujambazi yanaendelea kutikisa Jiji la Dar es Salaam baada ya watu wanaoaminika kuwa majambazi kumjeruhi kwa kumpiga risasi mkazi wa Kibaha, Nyalinga Steven (pichani) na kumpora kiasi cha Sh15 milioni jana.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura alisema jana kuwa Steven alipigwa risasi sehemu ya ubavuni katika eneo la Magomeni Mikumi.Akisimulia tukio hilo, Camillius alisema Steven alikuwa akitoka Manzese na alipofika Magomeni Mikumi, alipigwa risasi...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Majambazi yaua, yapora fedha
NI kama sinema vile iliyochezwa na majambazi mawili katika mji wa Geita. Majambazi hayo, juzi yaliuteka mji wa Geita kwa takribani dakika 15 kwa mtutu wa bunduki na kupora fedha...
9 years ago
Mwananchi02 Dec
Majambazi yapora Sh70 milioni Dar
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Majambazi yaua, yapora Dar, Tunduru
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Majambazi yapora Sh1 bil Stanbic