Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majambazi yaua, yapora ndani ya daladala Dar

Mtu mmoja amefariki dunia na mwingine kujeruhiwa wakati watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliposimamisha daladala eneo la Jangwani na kuingia ndani kupora mkoba unaosadikiwa kuwa na fedha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Majambazi yaua, yapora Dar, Tunduru

Dar/Songea. Tafrani ilizuka Dar es Salaam na mjini Tunduru, mkoani Ruvuma, baada ya majambazi kuua mtu mmoja na kupora zaidi ya Sh10 milioni katika matukio mawili tofauti.

 

9 years ago

Mwananchi

Majambazi yaua walinzi, yapora benki mbili Dar

Watu sita wanaodaiwa kuwa ni majambazi wamewaua kwa risasi walinzi wawili wa benki mbili tofauti na kupora mamilioni ya fedha katika benki hizo, Chanika nje kidogo ya jiji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majambazi yaua, yapora fedha

NI kama sinema vile iliyochezwa na majambazi mawili katika mji wa Geita. Majambazi hayo, juzi yaliuteka mji wa Geita kwa takribani dakika 15 kwa mtutu wa bunduki na kupora fedha...

 

11 years ago

TheCitizen

Majambazi yaua, yapora Singida

Watu wawili wamefariki dunia mkoani Singida katika matukio tofauti, likiwemo la mzee mwenye umri wa miaka 65 kuuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi ambao pia walipora Sh1,340,000.

 

10 years ago

Mwananchi

Majambazi yateka kituo cha polisi, yaua askari wawili, yapora SMG tano

WATU 15 wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha za kivita na mabomu ya kurushwa kwa mkono wamevamia kituo cha polisi Ikwiriri  wilayani Rufiji Mkoani Pwani na kuua askari polisi wawili na kupora silaha tano za SMG na mbili za kufyatulia mabomu ya machozi zilizokuwepo kituo hapo na kutokomea kusikojulikana.

 

9 years ago

Mwananchi

Majambazi yapora Sh70 milioni Dar

Watu wanne wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha wamevamia gari ndogo aina ya Toyota Saloon na kupora fedha zinazokadiriwa kufikia Sh70 milioni.

 

11 years ago

GPL

DALADALA YAUA DAR

  Gari aina ya Toyota Coaster  inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari  jijini Dar. Maiti bado zipo eneo la tukio, habari zaidi zitakujia hivi punde.!

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya daladala yaua wawili Dar

Watu wawili wamefariki dunia na wengine 13 wamejeruhiwa, baadhi yao vibaya baada ya daladala walilopanda kutoka Tegeta kwenda katikati ya jiji kuacha njia, kugonga mti na kisha kupinduka wakati likijaribu kulikwepa lori eneo la Mbuyuni jana asubuhi.

 

9 years ago

Mwananchi

Majambazi yapora wafanyabiashara

Watu wanne wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha  za moto wamewavamia wafanyabiashara kwenye Kijiji cha Vikonge wilayani Mpanda na kuwapora fedha na mali zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani