DALADALA YAUA DAR
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
 Gari aina ya Toyota Coaster  inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari  jijini Dar. Maiti bado zipo eneo la tukio, habari zaidi zitakujia hivi punde.!
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 May
Ajali ya daladala yaua wawili Dar
9 years ago
Mwananchi29 Aug
Majambazi yaua, yapora ndani ya daladala Dar
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uCeLa4uwiH-XpdP6zS5IurWwvxvEz0PcLiTx2YmOABz78gA9KzsBQTOmKRntG3xyXtgil3f*B99vnTgYoGECZazjpNel2bNS/breakingnews.gif)
AJALI YA DALADALA YAUA ABIRIA MKWAJUNI, DAR
10 years ago
TheCitizen08 Feb
What it is like to commute by daladala in Dar
10 years ago
Mwananchi28 Feb
‘Daladala’ ya Mv Dar es Salaam kuzinduliwa
11 years ago
Habarileo04 Jun
Nauli daladala Dar kupanda
HATIMAYE picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi vituo vikubwa vikiwemo vya Kariakoo na Posta, itapanda kutoka nauli ya chini ya Sh 400 ya sasa mpaka kati ya Sh 700 na Sh 800 kwa ruti moja.
11 years ago
Habarileo31 Mar
Njia 60 za daladala Dar kusitishwa
NJIA 64 za magari ya daladala jijini Dar es Salaam zitakoma kutumika kutokana na kuanza kwa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART).
10 years ago
GPLMOSHI WASABABISHA DALADALA KUGONGANA DAR
11 years ago
Habarileo22 Jun
Daladala laua watu 6 Dar es Salaam
WATU sita wamekufa na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali, iliyohusisha magari manne kugongana. Yaligongana katika barabara ya Bagamoyo, eneo la njia panda ya Lugalo katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.