MAJANGA TENA; MZEE SMALL AFARIKI DUNIA
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar. Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili. Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wTXF7TErLIY/U5OvqoTy9kI/AAAAAAAFoos/kjm-gm68uVk/s72-c/b3.jpg)
BREAKING NYUZZZZZ.....: MZEE SMALL AFARIKI DUNIA USIKU HUU
![](http://4.bp.blogspot.com/-wTXF7TErLIY/U5OvqoTy9kI/AAAAAAAFoos/kjm-gm68uVk/s1600/b3.jpg)
AKITHIBITISHA TAARIFA YA KIFO CHA MZEE SMALL,MWANAE AITWAE MAHMOUD AMESEMA MZEE WAKE AMEFIKWA NA MAUTI HAYO MAJIRA YA SAA NNE USIKU WAKATI AKIWA HOSPITALINI HAPO AKIENDELEA KUPATIWA MATIBABU.
MIPANGO INAFANYIKA NYUMBANI KWAO TABATA NA KADRI TAARIFA ZITAKAVYOKUWA ZIKITUFIKIA TUTAENDELEA KUJULISHANA.
NI PIGO...
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
SAD News: Muigizaji Mkongwe Nchini Mzee Small Afariki Dunia.
Mwigizaji maarurfu nchini Said Ngamba "Mzee Small" amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupatwa na pressure na kukimbizwa hospitali ya taifa Muhimbili. Muigizaji huyo mkongwe kabla ya kifo chake aliugua kwa muda mrefu pia. Mzee Small ni mmoja wa wasanii wa mwazo katika sanaa ya maigizo nchini kwenye enzi zake akiwa ametamba na wasanii wenzake wakongwe kama vile Bi.Chau na King Majuto, ni mmoja wa wasanii ambao mchango wake katika sanaa ya maigizo na tasnia ya filamu nchini hauwezi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR71rBPWxGHdelQuK6hN8QFRbAn17RRcqet-mKwpfRJTOCRnwsdYuwJOi8t-C3CQsg8aCs9xNGYQxxJmTdkq-vWg/ojwang.jpg?width=600)
MZEE OJWANG AFARIKI DUNIA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MZEE GURUMO AFARIKI DUNIA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MZEE DUDE AFARIKI DUNIA
10 years ago
CloudsFM30 Oct
MSANII MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA
MSANII wa filamu za Kibongo, Mzee Manento amefariki dunia jana jioni kiwa jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa moyo.
Mzee Manento atakumbukwa katika filamu alizocheza kama 'Hero of the Church', 'Dar to Lagos', 'Fake Pastor' na nyinginezo.
10 years ago
Dewji Blog15 Feb
Mzee Ebby Sykes afariki dunia
Baba mzazi wa msanii mkongwe wa muziki nchini, Dully Sykes, Mzee Ebby Sykes amefariki (pichani) dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Kwa mujibu wa binti yake Raya Sykes amethibitisha taarifa hizo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.
Raya katika ukurasa wake huo aliandika ‘Mungu akulaze mahala pema peponi baba angu mimi nilikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi….nasikitika nipo mbali sitaweza kukuzika. Ulikuwa ni mtu mwenye upendo na kila mtu alikupenda, nakupenda sana baba...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-AYe8ydNDnQA/VcB7HAf5EfI/AAAAAAABTGo/s8c9Qmk1yJc/s72-c/kisumo.jpg)
MZEE PETER KISUMO AFARIKI DUNIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-AYe8ydNDnQA/VcB7HAf5EfI/AAAAAAABTGo/s8c9Qmk1yJc/s400/kisumo.jpg)