Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majangili yaua Faru Serengeti

Wizara ya Maliasili na Utalii, imetuma kikosi maalumu cha askari 20, ili kuongeza nguvu ya kuwasaka majangili walioua faru na kuchukua pembe zake, usiku wa kuamkia jana katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAJANGILI WANASWA HIFADHI YA TAIFA SERENGETI

Nyama ya swala aliyeuawa na majangili ikiwa kwenye gari.
Majangiri wakipandishwa kwenye gari la askari wa wanyamapoli. Gari la askari wa wanayamapoli likiwapeleka majangiri katika Kituo cha Polisi cha Bunda.…

 

11 years ago

Mwananchi

RIPOTI MAALUM: Magugu ya ajabu yashambulia Hifadhi Serengeti, yaua misitu

>Maisha ya wanyamapori katika Hifadhi ya Serengeti na wanaoishi katika maeneo ya Mikoa ya Mara na Mwanza yapo hatarini kutokana na kugundulika kwa mmea hatari maarufu kwa jina la maguguvamizi na unaua majani na mimea mingine inayoota karibu yake.

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAENDESHA DROO YA KWANZA YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI.

   Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Allan Chonjo akitangaza washindi wa droo ya kwanza ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti inayoendeshwa na kampuni hiyo nchini kote, kushoto kwake ni Meneja wa bia ya Serengeti Rodney Rugambo, na kulia kwake ni Afisa Mwandamizi kutoka PWC Bwana Tumain iliyofanyika mapema leo jijini Dar es Salaaam.  Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia  Serengeti Allan Chonjo akiongea kwa njia ya sinu na moja wa washindi wa droo ya kwanza ya Winda Safari ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serengeti yatoa zawadi ya Limo Bajaj kwa mshindi wa kwanza wa promosheni ya “Tutoke na Serengeti”

4

Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kulia) akiongea na waandishi wa habari hawapo Pichani, wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya Tutoke na Serengeti, ambapo Bi.Rukia Athuman Almas toka Kihonda-Morogoro ameibuka mshindi wa kwanza na kujinyakulia Limo Bajaji mpya yenye thamani ya tsh milioni tisa, kushoto ni mkaguzi toka bodi ya Michezo ya bahati nasibu.

2

Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kulia) akiongea kwa njia ya simu ya mkononi na   Rukia Athuman Almas ambaye ni mshindi...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YACHEZESHA DROO YAKE YA KUMI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI


  Meneja wa Bia ya Serengeti Rugambo Rodney (katikati) akiongea na waandishi wa habari wakati akitangaza washindi wa droo ya winda safari ya Brazil na Serengeti iliyofanyika kiwandani Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni ofisa kutoka PWC Bi Golder Kamuzora (Kulia) na afisa mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha Bw. Humudi Abdulhussein (Kushoto) Meneja wa Bia Serengeti Rugambo Rodney (kulia) akiongea na mmoja wa washindi wa droo ya 10 ya winda safari ya Brazil kwa njia ya simu huku...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) yahitimisha kampeni ya “Serengeti Masta” kwa kishindo jijini Dar

CAMPIX PRODUCTION

Mshiriki wa shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta kwa wilaya ya Temeke Emmanuel Nyaulingo (kulia) akipokea zawadi ya fulana kabla ya shindano hilo kuanza rasmi ambalo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika baa ya Kisuma iliyopo Temeke jijini Dar es salaam. (kushoto) ni balozi wa bia ya Serengeti Premium Lager Caroline Vincent na anayeshudia (katikati) ni mshereheshaji wa shindano hilo Richard Godwin. Kampeni hiyo inafikia tamati jijini Dar es salaam baada ya kumalizika mikoani pia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa Mbugani” wa kampeni ya Tutoke na Serengeti akila bata ndani ya hifadhi ya Serengeti

PIC 1

Mshindi wa mwisho wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Gabriel Robert Moriale (Kulia) akiwa na kaka yake Bw.Joshua Robert Moriale (Kushoto) walipowasili mamlaka  ya hifadhi ya Ngorongoro jijini Arusha tayari kwa kuanza safari ya kwenda Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kukamilisha mtoko wao wa siku tatu ndani ya hifadhi hiyo. Robert aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya kushiriki kwenye kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani