Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majibu ya Diamond kwa Jokate kuhusu post yake iliyoleta utata

Story ya Diamond na Jokate imeingia kwenye hatua nyingine. Mshindi huyo wa ‘Best Live Act’ kwenye MTV MAMA baada ya kurejea Tanzania, amejibu shutuma alizozitoa Jojo dhidi yake kuhusu video aliyoipost, ya mrembo huyo aliyewahi kuwa mpenzi wake akifurahia wimbo wa ‘Mdogo Mdogo’ na kuandika “Mbona Bado, Mtanyooka Tu”. (Ingia hapa) Kupitia 255 ya XXL […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Bonta atoa maelezo kuhusu post yake ya Instagram iliyozua utata kama anamwombea kifo Joh Makini!

BONTA

Bonta ni rapper wa Weusi Kampuni ambayo inaundwa na Nikki Wa Pili, Joh Makini, G-Nako na yeye mwenyewe. Baada ya Joh Makini kuachia wimbo wake mpya na video, ‘Don’t Bother’ aliomshirikisha rapper AKA wa Afrika Kusini , Bonta aliandika post yenye utata kidogo kwenye akaunti yake ya Instagram.

BONTA

Hiki ndicho aliandika;

“JOHN aka
RUPTURE aka
@joh_makini aka
MWAMBA aka
ADILI KUMBUKA aka
D ROB aka
MTOTO WA DANDU aka
STIVE II K aka
COW BAMA aka
LANGA aka
FREDY JEBI aka
BABA KING / BABA...

 

10 years ago

GPL

POST YA ZARI KUMTAKIA HERI YA KUZALIWA WIFI YAKE YAZUA UTATA INSTAGRAM

MPENZI wa staa wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Zarinah Hassan 'The Boss Lady' amemtakia heri ya kuzaliwa wifi yake Esma kupitia akaunti yake ya Instagram huku post yake ikizua utata kwa mashabiki. Zari. Zari ambaye bado yupo Bongo katika post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi' ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake kumkosoa huku wengine wakidai...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu

Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.

Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz

Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...

 

9 years ago

MillardAyo

EXLUSIVE: Majibu ya Alikiba kuhusu kolabo yake na Davido

Ni Exclusive Interview Alikiba aliyoifanya na MillardAyo baada ya maswali kuendelea kuwepo kuhusu walipofikia baada ya Davido kuongea kwenye Interview na Millard Ayo July 2014 na kusema single nyingine na mkali wa bongofleva itakua ni yeye na Alikiba, sasa kujua alichosema Alikiba tazama hii Interview hapa chini.

The post EXLUSIVE: Majibu ya Alikiba kuhusu kolabo yake na Davido appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

GLOBAL TV ONLINE : JOKATE AFUNGUKA KUHUSU BIDHAA ZA KAMPUNI YAKE.



Imefichuka! Sexy lady mtafutaji anayejishughulisha na fani lukuki ikiwemo urembo na muziki, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ kwa mara ya kwanza ameweka wazi kwamba alitaka kunywa sumu kisa kikiwa ni kuumizwa kimapenzi na mwanaume aliyempenda kupindukia, aya zifuatazo zimesheheni.Sexy lady mtafutaji anayejishughulisha na fani lukuki ikiwemo urembo na muziki, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’,MBELE YA GAZETI HILIAkizungumza katika spesho intavyu na gazeti namba moja la mastaa Bongo, Ijumaa Wikienda,...

 

11 years ago

Mwananchi

Majibu: Kwa nini Davido ni zaidi ya Diamond?

>Wiki chache zilizopita mwanamuziki kutoka Tandale, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, alikuwa katika dunia nyingine akizungumza vitu tofauti kuhusu muziki kwa maana ya kushiriki katika tuzo za muziki za MTV MAMA.

 

10 years ago

Michuzi

Majibu kwa dukukudu kuhusu kura ya maoni ya Uchaguzi Mkuu ya TWAWEZA


Majibu kwa Dukuduku Kuhusu Utafiti Wa Kura Ya Maoni Wa TWAWEZA by Evarist Chahali

 

10 years ago

GPL

UTATA MTOTO WA NAY NA SIWEMA, MAJIBU YA DNA YAMALIZA UBISHI

MUSA MATEJA JIPU pwaaa! Baada ya utata mzito kutawala kwenye vyombo vya habari juu ya uhalali wa mtoto wa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa mzazi mwenzake Siwema Edson, hatimaye kipimo cha vinasaba (DNA) kimetoka na kumaliza ubishi kwamba mtoto huyo aitwaye Curtis ni damu halisi ya msanii huyo. Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na Siwema wakiwa na mtoto wao. Hivi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani