MAJINA YA WACHEZAJI WALIO CHANGULIWA KUBORESHA TIMU YA TAIFA YATAJWA
Kocha Msaidizi, Salum Mayanga, aliyekuwa na timu hiyo katika Mkutano na waandishi wa Habari uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Hill View iliyopo jijini Mbeya.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yLdVSjWu6Dcw1jWqXFC76Nerboat0LhfQEicGZCGe1r7-0wYTTxdqmN0f7aDAcCqVHuKrgy-3afz5Zt6QkSbWy-/Bnb9wUYIIAAcWgR.jpglarge.jpeg?width=600)
WACHEZAJI WALIOITWA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND KOMBE LA DUNIA
9 years ago
StarTV23 Nov
Wachezaji wa zamani wa timu za Taifa Bara na Z’bar kucheza mchezo maalum. Â
Wachezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na wachezaji wa zamani wa timu ya Zanzibar Heroes watacheza mechi ya kirafiki December 09 mwaka huu kwa Lengo la kuhamasisha amani katika visiwani Zanzibar.
Mechi hiyo itapigwa katika Uwanja wa Amani ambapo pande zinazotofautiana kisiasa zitaalikwa ili kuzungumza na wanachama kuwa watulivu kipindi hiki ambapo suluhu inatafutwa.
Wakati huohuo michuano ya kuwania kombe la Challenge inaendelea huko nchini Ethiopia,timu ya Kilimnajaro...
10 years ago
Vijimambo16 Dec
UTITILI WA WACHEZAJI WA KIGENI KUTAICHIMBIA KABURI SOKA YA TANZANIA NA KUUWA TIMU YA TAIFA KAMA ILIVYO UINGEREZA
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2556928/highRes/898778/-/maxw/600/-/1almpuz/-/seru.jpg)
Simon Sserunkuma By GIFT MACHA Wa Mwanaspoti.Mshambuliaji huyo raia wa Uganda alikuja nchini na timu ya Express ya nchini humo na kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Simba na Yanga na ndipo viongozi hao wa Yanga walipomwona na kumleta nchini ili kufanya naye mazungumzo lakini mambo yakawa tofauti kwani alitoroshwa kimya kimya na kupelekwa Zanzibar ambako Simba iliweka kambi kujiandaa na mechi ya Nani Mtani Jembe iliyochezwa juzi Jumamosi.ACHANA na Yanga kufungwa mabao 2-0 na Simba...
10 years ago
Mwananchi25 Oct
Majina ya awali yatajwa Karibu Festival ; Mwananchi Communications Ltd yadhamini
10 years ago
GPLAJALI YA BASI LA SUPER ALJABIR KUGONGA TRENI IFAKARA, MAJINA YA MAREHEMU YATAJWA
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Timu ya ngumi Tanzania 2015, yatajwa.
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
AFCON 2015:Makundi ya timu 16 yatajwa
11 years ago
Mwananchi23 Jun
Majina halisi ya wachezaji wa Brazil