MAKALA YA SHERIA: NI MUHIMU SANA MFANYABIASHARA/MJASIARIAMALI/MNUNUZI WA BIDHAA KUYAJUA HAYA.

Na Bashir YakubIpo sheria moja iitwayo Sheria ya Uuzaji wa bidhaa Sura ya 354. Ni sheria ambayo hutoa majibu ya miamala ya kibiashara hasa kwa namna ya kimikataba.
Ni muhimu sana kwa wajasiriamali kujua mambo yaliyo kwenye sheria hii ili kuepuka migongano na migogoro ya kibiashara.
Sheria hii hueleza jambo fulani likitokea hivi kati ya muuzaji na mnunuzi nani ana haki na mengine mengi kama nitakavyoonesha hapa. Ili ujumbe kufika vyema ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA GARI JIHADHARI NA UTAPELI HUU WA KIMKATABA

1. KUTAPELIWA KATIKA UNUNUZI WA GARI.
Ununuzi wa magari sawa na biashara nyingine yoyote unahitaji umakini. Lakini ununuzi wa gari unahitaji umakini mkubwa zaidi pengine kuliko mali nyingine yoyote inayohamishika kwa sasa. Hii ni kutokana na kukua kwa biashara ya bidhaa hiyo kulikoleteleza kujipenyeza kwa matapeli hasa mijini. Utapeli wa magari ni mkubwa kuliko watu wanavyofikiria na idadi ya wanaotapeliwa kwa siku inaelekea kulingana na idadi ya magari yanayouzwa...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: UNAPONUNUA KIWANJA/NYUMBA HAKIKISHA MKE WA MNUNUZI ANASAINI DOCUMENT HII, USITAPELIWE.

10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA JIHADHARI SERIKALI ZA MITAA HAWARUHUSIWI KUSIMAMIA MIKATABA KISHERIA.

Na Bashir YakubWiki iliyopita niliandika kuhusu Asilimia kumi ambayo serikali za mitaa huwa wanaidai hasa maeneo ya mijini baada ya wahusika kuwa wameuziana nyumba au kiwanja. Nikasema wazi kabisa bila kungata meno kuwa hiyo pesa iitwayo asilimia kumi au pesa nyingine yoyote mtu atakayolipa serikali za mitaa eti kwakuwa amenunua au ameuza eneo lake ni rushwa. Na leo nakumbusha na kusisitiza tena kuwa Watanzana wajue ukitoa pesa ile umetoa ...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA USILAZIMISHWE KULIPA ASILIMIA KUMI SERIKALI ZA MITAA MAANA HAIPO KISHERIA.

Na Bashir YakubMara nyingi nimekuwa nikiandika kuhusu masuala muhimu kuhusu ardhi hasa namna ya kuandika mikataba mtu anapokuwa ananunua nyumba/kiwanja , hadhi ya mikataba hiyo kisheria, na ubora wake. Pia nimeandika mambo mbalmbali kuhusu namna ya kununua nyumba au kiwanja kwa usalama ili watu wasitapeliwe. Nikasema suala si tu kununua kile unachokipenda na kuondoka isipokuwa ni kununua na kuwa salama na ulichonunua bila hatari ya kukumbana na mgogoro mbeleni. Lengo la haya yote ni...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA HII NI NAMNA YA KITAALAM YA KUJUA ENEO UNALONUNUA KAMA LINA MGOGORO AU HAPANA

Na Bashir Yakub
Makala zilizopita nilieleza mambo au taarifa muhimu zinazopaswa kuwa kwenye mkataba wako unapokuwa unanunua nyumba/kiwanja. Nikasema katika niliyosema kuwa mkataba lazima uoneshe ukitokea mgogoro utatatuliwa vipi, ueleze kuwa utapotokea mgogoro muuzaji lazima awajibike kuhakikisha anakupa ushirikiano mnunuzi ili kumaliza mgogoro huo na kuwa muuzaji kama ana mke basi mke wake ni lazima aandaiiwe nyaraka iitwayo ridhaa ya mwanandoa ambayo ni...
9 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: HAYA YATAKUSAIDIA UWAPO MIKONONI MWA POLISI

1.JE KITU GANI KIFANYKE ASKARI ANAPOKUNYIMA DHAMANA.
Kwanza ieleweke kuwa dhamana ni haki yako. Haki ni jambo la lazima. Haki ya dhamana inaruhusiwa kunyimwa katika makosa machache sana kwa mfano uhaini, wizi wa silaha, mauaji n.k. Makosa mengine madogo madogo hasa haya ya kila siku ya kutukana, kudhalilisha, kupigana, ajali ndogo, wizi usio wa silaha, na mengine dhamana ni lazima. Hata hivyo makosa ambayo hayaruhusiuwi...
10 years ago
Michuzi05 Jan
MAKALA YA SHERIA: UNATAKA NYUMBA/KIWANJA, HAKIKISHA HAYA KISHERIA USITAPELIWE
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro ya mashamba, viwanja na nyumba hasa maeneo ya mijini. Kwa utafiti wa kawaida utagundua kwa haraka baadhi ya sababu ambazo husababisha hali hii.Uaminifu, tamaa, kutelekeza maeneo kwa muda mrefu, utendaji mbovu wa baadhi ya watumishi katika mamlaka za ardhi, uzembe na kutojali ni baadhi ya sababu ambazo huchangia kuwapo na kukua kwa tatizo hili.
Baada ya kuwapo tatizo hili wajibu mkubwa umebaki kwa watu wenyewe kuwa makini na...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: JIHADHARI, HAYA NI MAZINGIRA KISHERIA AMBAPO ALIYEKUUZIA ARDHI ANAWEZA KUDAI TENA UMILIKI NA AKAUPATA

Kisheria yapo mazingira ambapo mtu aliyeuza ardhi anaweza kuidai tena ardhi ileile aliyouza kutoka kwa mnunuzi na akaipata. Na hapa haijalishi kama mnunuzi ameiendeleza ardhi kwa kiasi gani au amebadilisha hati na kuingia jina lake na vitu vingine kama hivyo.
Sheria imetoa haki hii kwa muuzaji hasa iwapo masharti katika mkataba wa mauziano yamevunjwa. Kwa kawaida kila mkataba wa mauziano ya ardhi huwa na masharti ambayo...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: KWA MUJIBU WA SHERIA NDOA HIZI HAZIRUHUSIWI

Hapa kwetu Tanzania tunazo ndoa za aina kuu mbili. Kwanza tunazo ndoa za kiraia au kiserikali, na pili tunazo ndoa za kimila.
Ndoa za kiraia au za kiserikali kama zinavyojulikana kwa wengi ni zile ambazo hufungwa chini ya usimamizi wa mamlaka za serikali kama ofisi ya mkuu wa wilaya n.k. Na kwa upande wa ndoa za kimila hizi ni zile ambazo hufungwa kutokana na taratibu za watu wa kabila au koo fulani kwa mujibu...