Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makala ya ziara ya Rais Jakaya Kikwete katika nchi za Finland na Sweden

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Rais Kikwete nchini Finland na Sweden

fin (1)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la nchi ya Finland Mhe Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo.

fin (2)

fin (3)

fin (4)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mahojiano na wanahabari jijini Helsinki, Finland.

fin (5)

fin (7)

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigonganisha glasi na Mari Kiviniemi, Waziri wa Masuala ya Nje wa Finland wakati wa dhifa iliyoandaliwa kwa hashima yake jijini Helsinki.

fin (8)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mabalozi wa sasa na wa zamani waliopata...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI FINLAND NA SWEDEN‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzomna Spika wa Bunge la Finland Mhe. Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mahojiano na wanahabari jijini Helsinki, Finland.…

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI ZA ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI FINLAND NA SWEDEN

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzomna Spika wa Bunge la nchi ya Finland Mhe Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mabalozi wa sasa na wa zamani waliopata kuiwakilisha Finland nchini Tanzania. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini humo, Balozi Dorah Msechu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Spika wa Bunge la Sweden Mhe Urban Ahlin alipotembelea Bunge la nchi hiyo jijini Stockholm.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WAPYA WA FINLAND NA SWEDEN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akisanini kitabu cha wageni alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Septemba 9, 2015Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JAKAYA KIKWETE AAGANA NA MABALOZI KUTOKA INDIA, UBELGIJI NA SWEDEN WALIOMALIZA MUDA WAO WA KAZI NCHINI

1
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi wa India anayemaliza muda wake Mhe.Debnath Shaw wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo ameagana na mabalozi watatu wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania baada ya kumaliza muda wao wa kazi . Mabalozi walioagana na Rais leo ikulu jijini Dar es Salaam ni pamoja na Mhe.Debnath Shaw wa India,Balozi Koenraad Adam wa Ubelgiji na balozi Lennarth Hjelmaker wa Sweden.
2Rais Dkt.Jakaya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani