Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKALIO YA AUNTY LULU YASABABISHA AJALI

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu aliye pia mjasiriamali, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kali ya mwaka alipotoa kauli kwamba kutokana na makalio yake makubwa, anapokuwa anatembea barabarani husababisha ajali kwani baadhi ya madereva wakware hukosa umakini kwa kumkodolea macho. Msanii wa filamu aliye pia mjasiriamali, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ Akizungumzia makalio yake na matiti...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AUNTY LULU: MAKALIO YANANITESA!

Mwandishi wetu
MWIGIZAJI Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja cha aina yake baada ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa akidai anasumbuliwa sana na wanaume wanaovutiwa nayo faragha. Mwigizaji Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. Akipiga stori na Risasi Jumamosi, Aunty Lulu alisema wanaume wengi wamekuwa wakimiminika kutaka baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo analitumia umbo lake ndivyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunty Lulu: Makalio Yananikosesha Amani!

Staa mrembo wa Bongo Movies Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja cha aina yake baada ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa akidai anasumbuliwa sana na wanaume wanaovutiwa nayo faragha.

Ameliambia gazeti la Risasi kuwa wanaume wengi wamekuwa wakimiminika kutaka baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo analitumia umbo lake ndivyo sivyo.

“Nawaomba wanaume waache kunifatafata jamani wananikosesha amani kwani mimi nimefundwa  najua madhara ya hako kamchezo kabaya, siwezi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Bondi, Aunty Lulu Wapashana

Mastaa wa Bongo Movies  na watangazaji waliowahi kuwa wapenzi, Bondi Bin Suleiman na Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ hivi karibuni walipashana baada ya kila mmoja kumdhihaki mwenzake kuwa hana kazi anayofanya mjini.

Bondi alisema kitu kikubwa anachokifanya Aunty Lulu ni kubadilisha wanaume ndiyo sababu ya kushindwa kuendelea na kazi yake ya utangazaji na filamu, akiishia kudanganya kuwa yeye ni mjasiriamali.

Lakini Aunty Lulu naye alijibu tuhuma hizo akisema mwandani wake huyo wa zamani...

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU ASIMULIA ALIVYOBAKWA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan My confession! (kukiri kwangu)! Mwanadada mwenye taito ya utangazaji na uigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefungua kinywa na kutoa la moyoni akisimulia tukio baya lililowahi kumkuta la jinsi alivyobakwa, Risasi Jumamosi lina ‘exclusive story’. Mwanadada mwenye taito ya utangazaji na uigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias...

 

11 years ago

GPL

AUNTY LULU KIPIGO CHAMTULIZA

Na Gladness Mallya
LULU Semagongo aliye mtangazaji na msanii wa filamu Bongo, amedaiwa kupewa kipigo cha haja na mpenzi wake aliyetajwa kwa jina moja la Amani hivyo kujificha nyumbani akijiuguza majeraha aliyopata. Aunty Lulu. Habari kutoka chanzo cha kuaminika, zinasema kuwa Lulu alipewa kubwa na mpenzi wake huyo mpya kutokana na tabia zake ambazo pia hazikuelezwa. “Nakuambia haonekani sehemu yoyote siku hizi. Boyfriend...

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU AKUBALI YAISHE!

Stori: Gladness Mallya BAADA ya kuachwa na mpenzi wake wa siku nyingi Bond, ambaye kwa sasa anadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji wa filamu, Wastara Juma, Aunty Lulu amekubali yaishe na sasa hana tena kinyongo nao. Mwigizaji wa filamu Bongo, 'Aunty Lulu'. “Mimi sina tena kinyongo na Wastara, vile nilikuwa namfanyia tu vituko, lakini kwa sasa asiniogope wala asiwe na wasiwasi na mimi,… ...

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU ALIA KUTENDWA

Stori:  Hamida Hassan
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa ametendwa vya kutosha na marafiki hivyo kwa sasa hahitaji tena kuwa na rafiki. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ Akipiga stori na mwandishi wetu, Aunty Lulu alisema kwa nyakati tofauti marafiki wamemponza akaachika kwenye uhusiano wa wapenzi wake,...

 

11 years ago

GPL

AUNTY LULU: NIMEKAMATIKA KIMAPENZI

Stori: Imelda Mtema
MWIGIZAJI Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa mpenzi aliyenaye sasa, amembana kisawasawa kiasi cha kushindwa kufurukuta. Mwigizaji Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ Akizungumza na paparazi wetu huku akiomba hifadhi ya jina la mpenzi wake huyo, Lulu alisema:
“Safari hii nimekamatika kimapenzi, jamaa ni kiboko, simu mara nyingi zinavunjwa, nami nanunua mpya...

 

11 years ago

GPL

AUNTY LULU ACHEZEA KICHAPO

MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ hivi karibuni alijikuta akichezea kichapo kutoka kwa mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Amani baada ya kutaka kwenda klabu usiku bila kumtaarifu. Msanii wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ akipozi. Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo walimsikia msanii huyo akipiga mayowe na walipotoka walimuona...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani