MAKAMU WA RAIS AIFARIJI FAMILIA YA RUBANI WILLIAM SLAA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumfariji Meya wa Manispa ya Ilala Mhe. Jery Slaa alipofika nyumbani kwao Gongolamboto jijini Dar es salaam leo Octoba 20, 2015 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kufuatia kifo cha Baba yake Marehemu Rubani William Slaa aliyefariki wiki iliyopita kwa ajali ya Hekopta.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumfariji Bibi Tabita Slaa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aifariji familia ya marehemu Mufti Simba, ashiriki kisomo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mke wa aliyekuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Marehemu Shaaban Issa Bin Simba, Bi Makaje Goso, wakati alipofika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam, Juni 16, 2015 kwa ajili ya kuifariji familia hiyo kabla ya kusafirisha mwili wa marehemu kuelekea nyumbani kwake Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya maziko yanayotarajia kufanyika leo jioni. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais, Mama Zakia Bilal. (Picha na OMR).
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/SFZzv1I3PRI/default.jpg)
RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU JOHN KOMBA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-kcDHfOz-ffM/VcJOajbrNNI/AAAAAAAHuag/tcdG1bggd4E/s72-c/unnamed%2B%252844%2529.jpg)
RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU MZEE PETER KISUMO
![](http://4.bp.blogspot.com/-kcDHfOz-ffM/VcJOajbrNNI/AAAAAAAHuag/tcdG1bggd4E/s640/unnamed%2B%252844%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Rais Kikwete aifariji familia ya marehemu John Edward Mchechu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) Bw. Nehemia Mchechu. Rais Kikwete alikwenda nyumbani kwa Mkurugenzi huyo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam julai 23, 2015 kumpa pole kufuatia kifo cha Baba yake aliyekuwa anaugua ugonjwa wa kiharusi.
Marehemu atasafirishwa kuelekea Muheza, Tanga kwa ajili ya Mazishi. Mazishi yatafanyika Kijiji cha Enzi, Muheza – Tanga siku ya Jumamosi tarehe 25/07/2015.(PICHA ZOTE NA KIKOSIKAZI CHA...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hGRt3BTVqcY/Uvk38Zqh0BI/AAAAAAAFMQU/I03e-Ae_II8/s72-c/unnamed+(51).jpg)
RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU MZEE PATRICK QORRO LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-hGRt3BTVqcY/Uvk38Zqh0BI/AAAAAAAFMQU/I03e-Ae_II8/s1600/unnamed+(51).jpg)
Marehemu Qorro ambaye wakati wa Serikali ya awamu ya kwanza aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali, ikiwamo Waziri mdogo wa Kilimo na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-dQYyeC4d7NA/VT5kd-k7_cI/AAAAAAAC3rE/UfRsgMUePcI/s72-c/mb1.jpg)
RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU BRIGEDIA JENERALI MSTAAFU HASHIM MBITA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-dQYyeC4d7NA/VT5kd-k7_cI/AAAAAAAC3rE/UfRsgMUePcI/s1600/mb1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5SvS_ymPt28/VT5kbpKvu4I/AAAAAAAC3q4/jIhyGWpkSS0/s1600/mb2.jpg)
10 years ago
VijimamboRais Kikwete aifariji familia ya Nyerere kufuatia kifo cha John Nyerere
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo leo asubuhi nyumbani kwa Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye John Nyerere kilichotokea hivi karibuni.Aliyesimama pembeni ya Rais ni mdogo wa marehemu Makongoro Nyerere.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-lbNEL4OFfR4/XuzPqOJVwOI/AAAAAAAAz24/r6N4k_5jqjEyffGBcxpk9d7TUe-TUcJ-wCLcBGAsYHQ/s72-c/F87A4658-2-1536x864.jpg)
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU NA RAIS MSTAAFU AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE WAIFARIJI FAMILIA YA NKURUNZIZA
![](https://1.bp.blogspot.com/-lbNEL4OFfR4/XuzPqOJVwOI/AAAAAAAAz24/r6N4k_5jqjEyffGBcxpk9d7TUe-TUcJ-wCLcBGAsYHQ/s400/F87A4658-2-1536x864.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-SGJ4d8t1fvA/XuzPqflRA_I/AAAAAAAAz28/m_D2vvNAJ3Y1jKM40IHqmpZqR0LREiujQCLcBGAsYHQ/s400/F87A4665-2-1536x812.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Xr6egQLO03E/Xu3iclFekyI/AAAAAAALuuc/NcwzsJ0L9vcfMukh8rR2X3LIvtSLT3SdwCLcBGAsYHQ/s72-c/F87A4658-2-2048x1152.jpg)
MAKAMU WA RAIS SAMIA NA RAIS MSTAAFU AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE WAIFARIJI FAMILIA YA NKURUNZIZA BURUNDI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Xr6egQLO03E/Xu3iclFekyI/AAAAAAALuuc/NcwzsJ0L9vcfMukh8rR2X3LIvtSLT3SdwCLcBGAsYHQ/s640/F87A4658-2-2048x1152.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakimjulia hali na kumfariji Mjane wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi Bibi Rev Denise Nkurunziza wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa...