Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamu wa Rais Dkt. Bilal ahani msiba wa Mke wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha mke wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, Dkt. Servacius Likwelil, wakati alipofika kumfariji Katibu huyo nyumbani kwake Boko Jijini Dar es Salaam, jana jioni. Mazishi yanatarajia kufanyika leo jioni kwenye Makaburi ya Kinondoni. (Picha na OMR).

2

3

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waombolezaji katika...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILALA AMUAPISHA KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kaimu Rais Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimuapisha Dkt. Adelhelm James Meru kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye hafla fupi iliyofanyika leo Novemba 17,2014 Ikulu Dar es salaam. Makamu wa Rais na Kaimu Rais Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na utalii Dkt. Adelhelma James Meru wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuapishwa leo Novemba 17, 2014 Ikulu Dar es salaam.Makamu wa Rais...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MSIBA WA RAIS WA ZAMBIA, MICHAEL CHILUFYA SATA

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Rais wa Zambia, Michael Chilufya Sata, wakati alipofika nyumbani kwa Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Judith Kapijimpanga, jijini Dar es Salaam, leo Novemba 3, 2014. Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Judith Kapijimpanga, baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO MSIBA WA PROFESSA KIVASI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Professa Rogath Kivasi, wakati alipofika kutoa pole nyumbani kwa marehemu Goigi jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 7, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mke wa ,marehemu Prof. Amelia Kivasi, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Goigi jijini Dar es...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal alipohani msiba wa Baba yake Rostam Azizi Jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rostam Azizi, wakati alipofika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, jana Mei 31, 2014 kwa ajili ya kumpa pole kwa kufiwa na Baba yake mzazi aliyefariki katikati ya wiki hii. (Picha na OMR).

2

heikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, akitoa mawaidha wakati wa dua maalum iliyofanyika nyumbani kwa Rostam Azizi Oysterbay kumuombea Baba mzazi wa Rostam, aliyefariki katikati ya wiki...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aongoza waombolezaji msiba wa Maalim Muhidin Gurumo, Jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo, Aprili 15, 2014 . Picha na OMR

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AHANI MSIBA WA BABA YAKE ROSTAM AZIZI JIJINI DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rostam Azizi, wakati alipofika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, leo Mei 31, 2014 kwa ajili ya kumpa pole kwa kufiwa na Baba yake mzazi aliyefariki katikati ya wiki hii.     - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waombolezaji waliofika  nyumbani kwa Rostam Azizi, Oysterbay jijini Dar es Salaam, leo Mei 31, 2014 kwa ajili ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani