Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamu wa Rais gumzo Katiba mpya

WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba kupitia kamati zao, wametofautiana kwa kiasi kikubwa kuhusu nafasi ya Makamu wa Rais, ndani ya muundo wa Muungano wa serikali mbili, unaoungwa mkono na wajumbe walio wengi. Eneo jingine ambalo wajumbe hao wametofautiana kupitia taarifa za kamati zao, ni kama mawaziri wawe wabunge, au wasiwe wabunge.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA TAFAKURI MARIDHIANO KUELEKEA KATIBA MPYA, JIJINI DAR LEO.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya...

 

11 years ago

Habarileo

Zanzibar gumzo Katiba mpya

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph WariobaWAKATI wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakifikiria nani atakuwa Mwenyekiti wao, wasomi karibu 100 waliokutana jana Dar es Salaam, wamejikuta wakiingia katika mjadala wa namna gani Zanzibar itambulike katika Katiba mpya.

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE KUAPISHWA RAIS MPYA WA BURUNDI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bujumbura Nchini Burundi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye shughuli ya kuapishwa Rais Mpya wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye  leo Juni 18,2020. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Burundi Mhe. Gasten Sindimwa.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AMEMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MAREHEMU BALOZI AUGUSTINE MAHIGA MKOANI IRIBGA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada la Maua  kwenye Kaburi  la  aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga wakati  wa Mazishi yake yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais alimuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mugabe amteua makamu mpya wa Rais

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amemeteua makamu mpya wa Rais Emmerson Mnangagwa dalili kwamba huyo ndiye Mugabe anampendekeza kumrithi.

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AMKARIBISHA MAKAMU WA RAIS WA CHINA NA UJUMBE WAKE IKULU DAR LEO, WASAINI MIKATABA

 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara (kulia) akisainiana mkataba na Naibu Waziri wa Wizara ya Biashara ya Wau wa China, Li Jinzao, wa Makabidhiano ya gari la matangazo la Shirika la Utangazaji la TBC, yaliyofanyika mapema mwaka huu. Shughuli hiyo ya kutiliana saini imefanyika leo Juni 23, 2014, Ikulu jijini Dar es Salaam, ikishuhudiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao Naibu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais, Dkt. Bilal amkaribisha Makamu wa Rais wa China na Ujumbe wake Ikulu Dar leo, wasaini mikataba

1

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo juni 23, 2014 akiongozana na Ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo.  Li Yuanchao, yupo nchini kwa ziara ya siku sita. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA SIMU LA VIETNAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Shirika la Simu Vitnam (VIETTEL) Hoang Son, wakati Makamu huyo alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 9, 2015 kwa mazungumzo akiwa ameongozana na ujumbe wake.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Makamu wa Rais wa Shirika la Simu Vitnam (VIETTEL) Hoang Son (wa pili kushoto kwake) na ujumbe wake...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais aiwakilisha Tanzania katika uzinduzi wa mfereji mpya wa Suez

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Balozi wa Tanzania, nchini Misri, Balozi Mohammed Hamza, wakati wakitoka kwenye Boti baada ya kuhudhuria hafla ya uzinduzi wa Mfereji mpya wa Suez Canal, kwa ajili ya meli za mizigo. Hafla hiyo ilifanyika jana Agosti 6, 2015 jijini Ismailia. (Picha na OMR).

2C

2B

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal jana ameiwakilisha Tanzania katika uzinduzi wa mfereji mpya wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani