Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanzibar gumzo Katiba mpya

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph WariobaWAKATI wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakifikiria nani atakuwa Mwenyekiti wao, wasomi karibu 100 waliokutana jana Dar es Salaam, wamejikuta wakiingia katika mjadala wa namna gani Zanzibar itambulike katika Katiba mpya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Makamu wa Rais gumzo Katiba mpya

WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba kupitia kamati zao, wametofautiana kwa kiasi kikubwa kuhusu nafasi ya Makamu wa Rais, ndani ya muundo wa Muungano wa serikali mbili, unaoungwa mkono na wajumbe walio wengi. Eneo jingine ambalo wajumbe hao wametofautiana kupitia taarifa za kamati zao, ni kama mawaziri wawe wabunge, au wasiwe wabunge.

 

10 years ago

Mwananchi

Katiba Mpya itafungua uchumi wa Zanzibar

Waziri Kiongozi mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha amesema milango ya kiuchumi Zanzibar itafungwa kama Katiba Mpya Inayopendekezwa haitapita katika Kura ya Maoni itakayopigwa Aprili 30, mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi: Katiba ‘mpya’ imeinufaisha Zanzibar

WASOMI wamepongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kuhusu Katiba Inayopendekezwa kwa wananchi kwa kuichambua vizuri na kubainisha manufaa yake kwa Zanzibar.

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA


Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa jukwaa la katiba juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo.
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.…
...

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya

>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Katiba Mpya ilivyoligawa Taifa

>Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingi. Usemi huo umejidhihirisha kwenye mchakato wa mabadiliko ya Katiba ambao tayari umeonyesha kuligawa taifa katika makundi matatu; Serikali, taasisi za dini na vyama vya siasa.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais wa Ujerumani aacha gumzo,aenda Zanzibar kwa boti

>Ziara ya rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck imeacha mjadala mzito kisiwani hapa kutokana na kitendo chake cha kutumia usafiri wa boti kuja Unguja na kutembea kwa miguu hadi Hoteli ya Serena ya Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani