Makamu wa rais wa S Leone afutwa kazi
Rais wa Sierra Leone Ernest Bai Koroma amemfuta kazi makamu wa rais kwa kutafuta hifadhi katika ubalozi wa kigeni nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili06 Nov
Makamu wa rais wa Maldives afutwa kazi
Bunge nchini Maldives limepiga kura kumfuta kazi Makamu wa Rais Ahmed Adeeb ambaye alikamatwa majuzi kwa tuhuma za uhaini.
10 years ago
BBCSwahili14 Mar
Makamu wa rais wa S Leone aomba hifadhi
Makamo wa rais wa Sierra Leone, anasema anaomba hifadhi katika ubalozi wa Marekani, katika mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown.
10 years ago
BBCSwahili01 Mar
Ebola:Makamu wa rais ajitenga S Leone
Makamu wa rais nchini Sierra Leone amejiweka kwenye karantini baada ya mmoja wa walinzi wake kuaga dunia kutokana na ebola.
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
Laudrup afutwa kazi na Swansea
Uvumi wasambaa kuhusu hatma ya Laudrup baada ya Swansea kushindwa 2-0 na West Ham .
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
Kocha wa Cameroon afutwa kazi
Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Cameroon Volke Finke amefutwa kazi baada ya taifa hilo kuandikisha msururu wa matokeo mabaya.
10 years ago
BBCSwahili29 Jul
Miguel Herrera afutwa kazi
Kocha kutoka Mexico, Miguel Herrera amefukuzwa kazi baada ya kumshambulia mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha luninga.
11 years ago
BBCSwahili27 Dec
9 years ago
BBCSwahili29 Oct
Askari aliyeburura mweusi afutwa kazi
Askari mzungu aliyemburura mwanafunzi mweusi huko Marekani alipokaidi amri ya mwalimu apeana simu yake amefutwa kazi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania