MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU KUAPISHWA KESHO 1,JANUARI 2016
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Kesho Ijumaa 01 Januari, 2016 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wataapishwa rasmi katika Ukumbi wa Ikulu, uliopo lango kuu litazamalo baharini kuanzia saa nne asubuhi.
Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wote ambao wataapishwa na wale ambao walishaapishwa wanapaswa kuhudhuria katika tukio hili, ili mara...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
Makatibu Wakuu na Manaibu kuapishwa kesho Januari Mosi, Ikulu jijini Dar!!
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Kesho Ijumaa 01 Januari, 2016 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wataapishwa rasmi katika Ukumbi wa Ikulu, uliopo lango kuu litazamalo baharini kuanzia saa nne asubuhi.
Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wote ambao wataapishwa na wale ambao walishaapishwa wanapaswa kuhudhuria katika tukio hili, ili...
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
Rais Magufuli afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Kaimu Naibu Kamishn TRA Nchini!!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Ikulu jijini Dar es Salaam jioni ya leo December 30, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakisikiliza kwa makini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali.
Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
Katibu Mkuu...
9 years ago
CCM Blog04 Jan
9 years ago
CCM BlogBALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA RASMI SEMINA ELEKEZI KWA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Baadhi ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Michuzi30 Dec
9 years ago
MichuziNRWS ALERT: RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ATEUA MAKATIBU WAKUU, MANAIBU MAKATIBU WAKUU NA KAIMU NAIBU KAMISHNA TRA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Rais Magufuli ateua Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali. Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
1. Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi – Ombeni Sefue
2. Katibu Mkuu Ikulu Peter Ilomo
3. Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora
Dkt. Laurian Ndumbaro
4. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu)
Dkt. Deo Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu –...
9 years ago
Michuzi24 Oct
JK ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE NA MANAIBU KATIBU WAKUU WATANO WAPYA
9 years ago
MichuziFATILIA LIVE HAFLA YA KUAPISHWA KWA MAKATIBU NA NAIBU MAKATIBU WAKUU INAYOYANYIKA IKULU HIVI SASA
BOFYA HAPA KUONA LIVE HAFLA HIYO