Makomandoo, halaiki watia fora sherehe za Muungano
Tanzania jana iliadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar huku viongozi wa upinzani wakisusia sherehe hizo za mwisho katika utawala wa Rais Jakaya Kikwete ambazo, makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), walitia fora.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi02 Sep
Makomandoo watia fora hafla ya kumuaga JK
Makomandoo wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), jana walikuwa kivutio katika hafla ya kumuaga Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
11 years ago
Michuzi26 Apr
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Lowassa, Magufuli watia fora 2015
Mwaka 2015 ulitawaliwa na matukio mengi ambayo yalitamba kwenye vyombo mbalimbali vya habari na hasa Uchaguzi Mkuu ambao umemfanya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Rais John Magufuli kuwa miongoni mwa watu waliotajwa zaidi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSUOvFblui*wQkpCobF4DLiL-liHTSqCOIMrfQrScHQ1JBYbOSQz-qJLC9tIOZoErkUBqfyQAvVcrq16979Cy8aO/JUMA.gif?width=650)
PICHA ZA UTUPU, VIDEO QUEENS TZ WATIA FORA
STORI: Musa Mateja WHY? Wauza nyago wanaotumika katika video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva (video queens) wametia fora kwa kurekodiwa mikanda ya utupu na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na simu za kupangusa, Risasi Jumamosi lina ripoti kamili. Mrembo maarufu kwa jina moja la Lulu akiwa uchi wa mnyama. Ukiachana na Agness Gerald ‘Masogange’, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’,...
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
Redd’s Miss Tanzania kambini, Lake Zone watia fora Dar
WAREMBO 30 wenye tiketi ya kushiriki fainali ya shindano la Redd’s Miss Tanzania, jana walianza kambi huku kivutio kikubwa katika Hoteli ya JB Belmonte, ilikuwa ni kuwasili warembo wa Kanda...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-uVfDv3BETFs/VaAzL8UOuLI/AAAAAAAHokU/X8aTY6-_0xE/s72-c/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
KINAMAMA WAJASIRIAMALI WATIA FORA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA NDOLA, ZAMBIA
Tarehe 1 hadi 7 Julai 2015 kulikuwako maonyesho ya kibiashara yaliyofanyika mji wa Ndola. Kama ilivyo ada kwa Watanzania, walishiriki maonesho hayo na kutia fora kwa bidhaa zao mbalimbali. Kikundi cha Wajasiriamali kinachojulikana HOT kutoka Dar es Salaam kilishiriki kama kinvyoonekana kwenye picha mbali mbali wakiwa wamepiga picha na Balozi wetu wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace J. Mujuma. Balozi alikwenda Ndola kuwaunga mkono.
Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace J. Mujuma...
![](http://4.bp.blogspot.com/-uVfDv3BETFs/VaAzL8UOuLI/AAAAAAAHokU/X8aTY6-_0xE/s1600/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-FZdGa16gung/VM6g0zmPF5I/AAAAAAAHA1M/m5mX28zU6G8/s72-c/0L7C2343.jpg)
chipukizi wa UVCCM wa Songea watia fora katika maadhimisho ya miaka 38 ya CCM uwanja wa Majimaji
![](http://1.bp.blogspot.com/-FZdGa16gung/VM6g0zmPF5I/AAAAAAAHA1M/m5mX28zU6G8/s1600/0L7C2343.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-U2VCUAD6meo/VM6hDwTDUvI/AAAAAAAHA1c/_J35IgVpA_o/s1600/0L7C2348.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-V6rN7WXzp9A/VM6hjkDVvmI/AAAAAAAHA1s/EGZZliuKXoM/s1600/0L7C2356.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5JJjyfpfB_E/VM6hYSGLyVI/AAAAAAAHA1k/267iuRviqxY/s1600/0L7C2360.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-S_7YabJzTKk/VM6hvL5mP-I/AAAAAAAHA10/06qN_0CJN9c/s1600/0L7C2377.jpg)
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-SyJbqDYcgWo/VM6bxxnZV1I/AAAAAAAHAzA/Fs7pCPEQlXY/s1600/0L7C2212.jpg)
CHIPUKIZI WA UVCCM SONGEA WATIA FORA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM UWANJA WA MAJIMAJI
 Chipukizi wa UVCCM wakipia saluti huku wakiimba  wimbo wa Taifa…
11 years ago
Michuzi27 Apr
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania