Malinzi ausifu Uwanja Sheikh Amri Abeid
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameridhishwa na viwango vya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ulioko Arusha na kuahidi kuileta timu ya Taifa kuutumia katika moja ya mechi za kimataifa ikiwemo ya michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2017 (AFCON).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Hali ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid inatisha
Uwanja ni nyenzo muhimu katika kukuza na kuendeleza michezo kitaifa na kimataifa kwa kuwa ndio sehemu ya kukutana kwa wanamichezo, kuendesha mashindano na hata kusaka vipaji vya michezo na kuviendeleza.
11 years ago
Mwananchi14 May
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5wu8U2MaqbiAOZ6l4B-9UbQDOuIi0qGRmluqbX3XTUGZZx3VCkz3uxFobuqWfwtY5xrqZgrQu5xxHCcvPTk4-vVZ4TWF3yaL/IMG20150529WA0002.jpg)
10 years ago
Vijimambo20 Mar
KINANA AWA SHUJAA ARUSHA MJINI KUHUTUBIA WANANCHI KESHO KWENYE UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-cQr_0lxHmzg%2FVQwmRekKlFI%2FAAAAAAAAYgU%2FhTEmo-M6xWo%2Fs1600%2F01.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-kjrf-EyX2UY%2FVQwmUsztIRI%2FAAAAAAAAYgc%2Fd3hgMu5_x08%2Fs1600%2F3.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-znuC6_U-vYs%2FVQwmXkeduoI%2FAAAAAAAAYgo%2FZwoPDcd-IF8%2Fs1600%2F6.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-RgguMVF1jmI%2FVQwmYO9h7RI%2FAAAAAAAAYgs%2FLpKbXzOqUwk%2Fs1600%2F7.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-WUYvtOpUMsk/VWrcQgnZ51I/AAAAAAAAsiM/tkjga7Dq_Gw/s72-c/IMG_2939.jpg)
HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA WAKATI MH. LOWASSA ALIPOKUWA AKIELEKEA KWENYE UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID KUTANGAZA NIA YA URAIS
![](http://2.bp.blogspot.com/-WUYvtOpUMsk/VWrcQgnZ51I/AAAAAAAAsiM/tkjga7Dq_Gw/s640/IMG_2939.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-eiUj_0ep2PI/VWrcMsT6z6I/AAAAAAAAsiA/N-Ge1Ktfbbw/s640/IMG_2950.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-VZP2AenmpJE/VWrcQS6rDPI/AAAAAAAAsiI/Yd7V--OlhHM/s640/IMG_2952.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HCrZE9XEVu8/VWrcS567LCI/AAAAAAAAsiY/xgubCPYv-5A/s640/IMG_2953.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-wojAft-SCcg/VWrcVKyifMI/AAAAAAAAsig/M3MLMzkBRCU/s640/IMG_2963.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-bZQb6ovUbHA/VWrcW_lROVI/AAAAAAAAsio/PdOZCIBkRYM/s640/IMG_2964.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-KuhHc0avh74/VWrcaf9xf1I/AAAAAAAAsiw/4j0-wWGwBgk/s640/IMG_2974.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-qmLemxtETwo/VWrcdFPLT5I/AAAAAAAAsi4/r_hab0pbFpY/s640/IMG_2979.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/--6F-Fc-WzG0/VWrcfajRN2I/AAAAAAAAsjA/L6tw6mlG9wg/s640/IMG_2981.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xmUS4W9sJoc/VWrchl8YhHI/AAAAAAAAsjI/OTL7qboe1OI/s640/IMG_2989.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-AUyIyYHz5JY/VWrcj25UJtI/AAAAAAAAsjQ/gNANXpmZMBk/s640/IMG_2999.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WUYvtOpUMsk/VWrcQgnZ51I/AAAAAAAAsiM/tkjga7Dq_Gw/s72-c/IMG_2939.jpg)
HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA JIJINI ARUSHA WAKATI MH. LOWASSA ALIPOKUWA AKIELEKEA KWENYE UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID KUTANGAZA NIA YA URAIS
![](http://2.bp.blogspot.com/-WUYvtOpUMsk/VWrcQgnZ51I/AAAAAAAAsiM/tkjga7Dq_Gw/s640/IMG_2939.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HCrZE9XEVu8/VWrcS567LCI/AAAAAAAAsiY/xgubCPYv-5A/s640/IMG_2953.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xmUS4W9sJoc/VWrchl8YhHI/AAAAAAAAsjI/OTL7qboe1OI/s640/IMG_2989.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-AUyIyYHz5JY/VWrcj25UJtI/AAAAAAAAsjQ/gNANXpmZMBk/s640/IMG_2999.jpg)
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
MichuziSECRETARY GENERAL OF THE EAC ADDRESSES ZINDUKA 2014 FESTIVAL AT THE SHEIKH AMRI ABEID STADIUM, ARUSHA
The Secretary General of the East African Community, Amb. Dr. Richard Sezibera today commended the East African Business Council, Pan African Lawyers Union (PALU), the people of Arusha and the management of Arusha City Council for organizing and hosting the Zinduka 2014 themed“Peoples’ Voices, Sustainable Development” at the Sheikh Amri Abeid Stadium in Arusha, Tanzania.
Amb. Sezibera applauded the warm hospitality extended by the organizers and Arusha city to the delegates attending the...
Amb. Sezibera applauded the warm hospitality extended by the organizers and Arusha city to the delegates attending the...
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Mwalimu J.K.Nyerere na Kaluta Amri Abeid
Wakati Watanzania wanaelekea katika Uchaguzi Mkuu ujao, tunashuhudia pilikapilika nyingi za wanasiasa wanaozungumzia maendeleo ya taifa hili katika elimu, siasa, uchumi, afya, mawasiliano, nk. Kila chama cha siasa kimetayarisha vipaumbele vyake ambavyo vinalenga kuboresha maisha ya wananchi. Kwa mfano katika uzinduzi wa kampeni ya Chama cha Mapinduzi (CCM)uliofanyika katika Viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam Jumapili tarehe 23 August 2015, Rais mtarajiwa Dkt John Pombe...
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Kaluta Amri Abeid na Saadan Abdu Kandoro
unaendelea na maelezo kuhusu mchango wa Hayati Kaluta Amri Abeid, gwiji wa mashairi ya Kiswahili. Alikuwa pia na kipaji cha kusoma mashairi ya Kiingereza, Kiarabu, Kiajemi na Kiurdu.
Mchango wake katika lugha ya Kiswahili ni mkubwa. Mwandishi mashuhuri Mathias Eugen Mnyampala akiandika juu ya maisha yake, alimtaja Kaluta  Amri Abeid kama mtu hodari wa kutumia lugha ya Kiswahili katika fani ya kuimba Tajiwidi, mashairi na tenzi kwa mahadhi ya namna mbalimbali.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania