Mama Daniela Schadt aipongeza WAMA kwa kazi wanayoifanya ya kuwasomesha watoto wa kike ambao ni yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Na Anna Nkinda – Maelezo
Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) imepongezwa kwa kazi inayoifanya ya kuhakikisha watoto wa kike ambao ni yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi wanapata elimu sawa na watoto wengine.
Pongezi hizo zimetolewa leo na Mke wa Rais wa Shirikisho la Ujerumani Mama Daniela Schadt wakati akiongea na wafanyakazi wa WAMA alipozitembelea ofisi za Taasisi hizo zilizopo jijini Dar es Salaam.
Mama Schadt ambaye ni Mke wa Rais...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKONGAMANO LA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI
5 years ago
MichuziWADAU WASAIDIE WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI
Brig. Jen. Mwangela ameyasema hayo wakati akishiriki uzinduzi wa Mradi mpya wa taasisi ya Save The Children ambapo mradi huo mpya utajikita katika kuongeza ushiriki wa wananchi katika michakato ya kisera na Kibajeti.
Amesema taasisi hiyo imekuwa ikisaidia watoto wanaoishi katika mazingira...
10 years ago
GPLKONGAMANO LA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI KUFANYIKA FEBRUARY 2, 2015
10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Kongamano la watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi kufanyika tarehe 18-20, February , 2015 jijini Dar
Kaimu Kamishna Msaidizi Kitengo cha huduma kwa familia, watoto, malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Philbert Kawemama (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akifungua semina ya siku moja inayohusu watoto waishio katika mazingira hatarishi na kongamano la watoto hao litakalofanyika Februari 18 hadi 20 mwaka huu katika ukumbi wa Mwalimu J.K Nyerere Convention Centre. Kushoto ni Kaimu Kamishna Msaidizi Huduma kwa...
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Watoto wanaoishi mazingira hatarishi wapewa ujuzi
HALMASHAURI zote nchini, zimetakiwa kuona umuhimu wa kutenga fedha katika bajeti zao ili kuweza kusomesha watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi, pia wale ambao hawana malezi maalumu. Ushauri huo umetolewa juzi...
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
DC Makete atoa rai kwa jamii ya Makete kusaidia watoto yatima na waishio kwenye mazingira hatarishi
Mkuu wa wilaya ya Makete mwenye suti nyeusi (aliyesuka nywele) Mh. Josephine Matiro, mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (kulia kwa mkuu wa wilaya) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto walioshiriki maadhimisho hayo.
Na Mwandishi wetu
Imeelezwa kuwa ni jukumu la kila mmoja kuwasaidia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi, na si kuiachia serikali ama mashirika yasiyo ya kiserikali peke yao kufanya kazi hiyo
Kauli hiyo imetolewa...
11 years ago
Michuzi16 Jun
MKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI
11 years ago
GPLMKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI
11 years ago
MichuziTimes Fm, M2 Advertising na makampuni rafiki wajitolea kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu shule ya ‘Wamato’
Tukio hilo lililofanyika wiki...