Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Diamond, Wolper Wafunika Kwenye Je Utanipenda

Kuna msemo usemao “experience is the best teacher”, msemo huu umekamilika kupitia mama mzazi wa msanii Diamond Platnums , baada ya kuigiza kama mama ambaye ana maisha magumu kupitiliza,huku akiwa ameuvaa uhusika vilivyo kupitia video mpya ya msanii huyo ambaye ni mwanae wa kumzaa huitwao, je utanipenda.
DIAMOND WOLPER356
Mama diamond, ni kati ya watu wachache waliotumika kwenye video hiyo na kuifanya ionekane kuwa na mvuto wa kipekee na kubeba hisia za mamilioni ya watanzania kwa uchezaji wa hali ya juu...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hii ndio scene iliyomtoa machozi Diamond kwenye video ya Utanipenda!

12224632_1624698111126002_1129176434_n

Diamond Platnumz aliamua kuitumia familia nzima kwenye video ya wimbo wake mpya, Utanipenda!

Mchumba wake Zari, mwanae Tiffah, mama yake Sandra na mameneja wake Babu Tale na Said Fella wameonekana.

Hata hivyo scene ya mama yake inayomuonesha akienda kwa Jakaya Kikwete na kufukuzwa na pia kwa Said Fella na kufukuzwa pia ilimliza Diamond.

“Wakati hii scene inashutiwa sikuweza kabisa kukaa karibu, ijapokuwa ilikuwa ni uigizaji ila nikajikuta najiskia vibaya alivyokuwa anafukuzwa na...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mama Diamond na mama Zari walipokutana kwenye ‘state house’ ya Platnmuz

Nyuso za wazazi wa mastaa wawili wa Afrika, Diamond na Zari zilionekana zenye furaha mbele ya mjukuu wao Lattifah Nasib a.k.a Tiffah katika picha waliyopiga nyumbani kwa Diamond ambapo mwenyewe anapaita ‘state house’. Zari amepost picha ya mama yake mzazi akiwa amembeba Tiffah na pembeni akiwa na mama yake Diamond, kwa pamoja wanaonekana wakizungumza jambo […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Diamond Platnumz – Utanipenda

DD

Msanii Diamond Platnumz ameachia video yake mpya ya wimbo “Utanipenda”. Video hii imefanyika South Afrika na Tanzania katika hii video Diamond amejaribu kuonyesha karibu kila alicho kiimba humo ndani wameonekana ma star kama Wolper, FA, Mama Diamond, Zari,Mastar J,Shaa, Tale na Fella. Vdeo imeongozwa na Godfather.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: DIAMOND PLATNUMZ - UTANIPENDA..? (Download)




Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

Global Publishers

Kilichojificha Nyuma ya Pazia Wimbo wa Diamond- Utanipenda

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 1

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 2

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 3

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 4

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 5

 

9 years ago

Bongo5

Video: Diamond Platnumz – Utanipenda (Ostar Classic – Tutakupenda)

maxresdefault (2)

Video mpya ya msanii Ostar Classic karudia wimbo wa Diamond Platnumz ‘Utanipenda’ na kuuita ‘Tutakupenda‘ (Diamond Cover). Angalia hapa alafu toa maoni yako. Video imeongozwa na Flex.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Global Publishers

Utanipenda ya Diamond yatazamwa na watu zaidi ya 800,000

DiamondVideo mpya ya staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz imetazamwa na watu  zaidi ya laki nane na tisini kwa muda wa wiki moja tangu itoke Desemba 11, mwaka huu.

Mkali huyo wa Bongo Fleva anatarajia kuangusha bonge moja la shoo ndani ya Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar siku ya Krismasi, keshokutwa.

DIAMOND (3) Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz.

Akizungumzia maandalizi ya shoo hiyo, Diamond alisema itakuwa ya tofauti. Kila atakayelipia fedha yake ( kawaida shilingi 15,000 na V.I.P...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Meneja wa Diamond ataja kazi inayofuata baada ya Utanipenda

12393885_765525026914683_1478959651_n

Ni kitu baada ya kitu. Baada ya kuachia video ya Utanipenda, Diamond anatarajia kuachia kazi nyingine mpya mwezi huu.

“Nadhani mwezi huu [January] tuna collaboration na AKA ambayo video yake ipo tayari,” meneja wa Diamond, Sallam ameiambia Bongo5.

Amesema kwakuwa Utanipenda ni wimbo wa huzuni na wa kusikiliza zaidi, wameona ni vyema kuachia pia wimbo wa kuparty.

“Tuna stock nyingi na hii ni collaboration, yaani ni nyimbo ya AKA na Diamond kwahiyo tunapotoa nyimbo ya collabo mara nyingi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani