MAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WILAYA YA MJINI UNGUJA
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mkoa wa Mjini Bi Waridi Juma akisoma risala ya Wanawake wa Mkoa wa Mjini wakati wa mkutano na Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, Mama Mwanamwema Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar.
Viongozi wa UWT Mkoa wa Mjini Unguja wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakati wa mkutano wake na Viongozi hao uliofanyika Afisi ya CCM Mkoa Amani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WILAYA YA MJINI UNGUJA KUMUOMBEA KURA DK SHEIN NA DK MAGUFULI
10 years ago
GPLMAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WILAYA YA MJINI UNGUJA KUMUOMBEA KURA DK SHEIN NA DK MAGUFULI
11 years ago
MichuziMama Mwanamwema Shein akabidhi madawati kwa Skuli ya Msingi Mgenihaji Wilaya ya Kati Unguja
10 years ago
Michuzi.jpg)
Dkt. Shein afungua Mkutano wa Mabalozi wa Nyumba kumi Wilaya ya Mjini Unguja
.jpg)
10 years ago
VijimamboMama Mwanamwema Shein Akabidhi Vifaa Dunga
5 years ago
Michuzi
UMOJA WA WAWAKILISHI WANAWAKE (UWAWAZA) WAMPONGEZA MAMA MWANAMWEMA SHEIN.

MWENYEKITI wa Wawawakilishi Wanawake Zanzibar (UWAWAZA) ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma akitowa pongeza kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kwa ushirikiano wake kikamilifu katika shughuli za maendeleo mbalimbali zikiwemo za Kijamii.(Picha na Ikulu)
10 years ago
VijimamboMama Mwanamwema Shein, Afutarisha Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar.
10 years ago
Dewji Blog28 Dec
Mama Pinda afungua mkutano wa Baraza la UWT wilaya ya Mlele
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mlele mkoani Katavi wakati alipowasili kwenye shule ya Sekondari ya Mamba kufungua Mkutano wa Baraza hilo Desemba 28, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akijumuikana wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Wanawake la Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wakati alipowasili kwenye shule ya sekondari ya Mamba kufungua Mkutano wa Baraza hilo,...
10 years ago
MichuziMAMA PINDA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA UWT WILAYA YA MLELE,KATAVI
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mlele Mkoani Katavi kwenye shule ya Sekondari ya Mamba Desemba 28, 2014.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI