Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Salma Kikwete aunguruma katika kampeni za ubunge chalinze

Mama Salma Kikwete amesema kuwa vyama vya upinzani havina uwezo wa kutatua changamoto za maendeleo kwani havina ilani za uchaguzi ambazo ni mkataba baina ya wananchi na viongozi . Aliyasema hayo kwenye kata ya Pera Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni wa kumnadi mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete na diwani wa kata hiyo Lekapo Laini. Mama Salma alisema kuwa ilani ndiyo mkataba baina ya viongozi na wananchi juu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI LINDI MJINI, NACHINGWEA NA LIWALE

  Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi,CCM, Mama Salma Kikwete akimnadi mgombea Urais kupitia CCM, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Mpilipili huko Lindi Mjini tarehe 12.10.2015. Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC, Mama Salma Kikwete mara baada ya kumwombea kura kwa wananchi wa Manispaa ya Lindi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AFANYA KAMPENI KATIKA KATA ZA MTANDI NA MWENGE HUKO LINDI MJINI

Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, anayewakilisha Lindi Mjini, Mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi wa Kata ya Mtandi iliyoko Lindi Mjini wakati alipotembelea Kata hiyo kwa ajili ya kufanya mkutano wa kampeni katika uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini kote tarehe 14.12.2014.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM anayewakilisha Lindi mjini na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akionyesha ishara ya vidole viwili kuashiria...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AFANYA KAMPENI KATIKA KATA ZA CHIKONJI NA MINGOYO HUKO LINDI MJINI


 Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwapungia wananchi wa Kata ya Chikonji wakati alipofika kwenye Makao Makuu ya Kata hiyo kwa ajili ya mkutano wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini tarehe 14.12.2014. Mamia ya wananchi waliofurika katika mkutano wa kampeni ulifanyika katika Kata ya Chikonji iliyoko katika Wilaya ya Lindi Mjini na kuhutubiwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mama Salma Kikwete tarehe...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE KATIKA CHAKULA CHA JIONI CHA KAMPENI ZA KUPAMBANA NA UTUMIKISHWAJI WA WATOTO

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza wakati wa chakula cha jioni cha kampeni za kupambana na utumikishwaji wa mtoto hapa Tanzania kilichoandaliwa na International Rescue Committee kwenye Hoteli ya Serena tarehe 5.9.2014.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua rasmi kampeni ya kadi nyekundu katika kupambana na utumikishwaji wa mtoto hapa Tanzania wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na International Rescue Committee katika Hoteli ya Serena tarehe 5.9.2014.Mke wa Rais Mama Salma...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA, NAPE NA MAMA SALMA KIKWETE WAITIKISA LINDI MKUTANO WA KAMPENI

 Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, AbdallaMadebe ambaye alikuwa ndiye mpigadebe mkubwa wa Mbunge anayemaliza mda wake wa Lindi mjini, maarufu kwa jina la Bwege, akibebwa na wananchi baada ya kutangaza kuhamia CCM, katika mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi leo. Pamoja na Katibu huyo wanachama wengine 38 walihamia CCM. Wananchi akishangilia wakati wa mkutano wa kampeni...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SALMA KIKWETE KWENYE MIKUTANO YA KAMPENI MCHINGA NA LINDI MJINI.

1 Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Ndugu Jordan Rugimbana mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi kwa ziara ya kikazi mkoani humo tarehe 8.10.2015.2Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC anayewakilisha wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wa Jimbo la Mchinga waliokusanyika kwenye Kijiji cha Kikomolela Kata ya Matimba kwa ajili ya mkutano wa kampeni kwenye...

 

9 years ago

Michuzi

mama salma kikwete anadi wagombea ubunge na udiwani kata ya ubungo jijini dar es salaam

 Jijini Dar es Salaam wakati wa Kampeni ya kumnadi Mjumbe wa NEC –CCM Lindi Mjini ,Mama Salma Kikwete,akizungumza na wakazi wa Kata ya Makurumla Magomeni mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo,Didas Masaburi na Diwani wa kata hiyo Rajabu Hassani  Mjumbe wa NEC –CCM Lindi Mjini ,Mama Salma Kikwete,akizungumza na kuonesha Irani ya uchaguzi wakazi wa Kata ya Makurumla Magomeni Jijini Dar es Salaam wakati wa Kampeni ya kumnadi mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo,Didas Masaburi na Diwani wa kata hiyo...

 

10 years ago

GPL

MAMA SALMA KIKWETE AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KATA ZA NACHINGWEA NA MINGOYO MKOANI LINDI

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea iliyoko mjini Lindi wakati alipotembelea tawini hapo kwa ajili ya kikao na viongozi wa kata hiyo juu ya ushiriki wa Chama cha Mapinduzi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, vjiji na vitongoji unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014. Viongozi wa CCM Kata ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani