Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


*MAMA SALMA KIKWETE AWAANDALIA TAFRIJA YA MWAKA MPYA WENZA WA MABALOZI WA NJE WALIOPO TANZANIA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa tafrija ya mwaka mpya aliyoiandaa Ikulu leo kwa ajili ya wenza wa mabalozi wa nchi za nje walioko hapa Tanzania.Baadhi ya wageni waalikwa wakiongozwa na Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakhia Bilal (wa kwanza kushoto) wakisikiliza hotuba ya Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (hayupo pichani) wakati wa tarfija ya mwaka mpya aliyowaandalia wenza wa mabalozi wa nchi za nje waliopo hapa Tanzania.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA MWAKA WA TAASISI YA SEGAL FAMILY HUKO NGURDOTO- ARUSHA.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Segal Family uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto huko Arusha tarehe 10.7.2014.  Baadhi ya washiriki kwenye mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Segal Family wakisikiliza hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kwenye ukumbi wa Ngurdoto   Baadhi ya washiriki kwenye mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Segal Family wakisikiliza hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kwenye ukumbi wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE YA KUTIMIZA MWAKA VIKUNDI VYA WAMA HUKO NACHINGWEA/AKABIDHI MADAWATI

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akiwapungia wananchi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Chuo cha Ualimu Nachingwea kuhudhuria sherehe za kutimiza mwaka za vikundi vya WAMA kwenye Mradi wa Mwanamke Mwezeshe tarehe 18.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwaonyesha waalikwa zawadi mbalimbali alizopewa na wanavikundi vya WAMA kwenye mradi wa Mwanamke Mwezeshe mkoani Lindi. Sherehe hizo zilifanyika katika ukumbi wa Chuo cha Elimu...

 

10 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA, OTTAWA - MWENYEJI WA MKUTANO WA UMOJA WA WENZA WA MABALOZI WA AFRIKA, CANADA

Ubalozi wa Tanzania, Ottawa umeshiriki kikamilifu kuandaa Mkutano wa Umoja wa Wenza wa Mabalozi wa Nchi za Afrika nchini Canada.
Akiuwakilisha Ubalozi wetu, mwenyeji wa mkutano huo ambaye pia ni Mtunza Hazina wa Umoja huo, Mke wa Balozi wa Tanzania, Mama Esther Zoka alitumia fursa ya mkutano huo, kuvinadi vivutio vya utalii vya Tanzania, ambavyo ni pamoja na Ngororo Crater ambayo iko katika orodha ya maajabu makuu ya ulimwengu inayoratibiwa na UNESCO, Mlima Kilimanjaro ambao ni mlima mrefu...

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Seif awaandalia Madaktari wa Kichina tafrija maalum ya kuwaaga

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwakaribisha Madaktari Mabingwa ya Jamuhuri ya Watu wa China waliowasili Zanzibar wiki iliyopita kushika nafasi ya wenzao waliomaliza muda wao wa miaka miwili.Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi na Mke wa Balozi Mdogo wa China hapa Zanzibar Bibi Xie Yun wakipata mlo katika tafrija walioandaliwa Madaktari mabingwa wa China waliomaliza muda na wale wapya hapo Mazizini nje kidogo ya mji wa Zanzibar.Balozi...

 

10 years ago

Michuzi

Timu za bunge zapongezwa katika tafrija ya kuukaribisha mwaka mpya usiku huu mjini dodoma

Na Othman  Khamis Ame,  OMPR – ZNZ.Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda aliwapongeza wanamichezo wa Timu za Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuliletea sifa kubwa Bunge hilo kwenye mashindano ya michezo mbali mbali ya Kitaifa na Kimataifa.  Mh. Pinda alitoa pongezi hizo katika Tafrija maalum ya kuukaribisha mwaka mpya zilizofanyika katika majengo ya Bunge la Jamuhuri Mjini Dodoma hafla iliyokwenda sambamba na kuwapongeza wanamichezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani