Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mambo yoote Jangwani leo

Kwa wale ambao wako mikoani na wale waliopo nje ya nchi, mnaweza kutazama Uhuru Tv kwenye kinga'amuzi cha Digitek na Azam chanel number 2017 au online www.uhurutv.co au www.ccmtv.co Itakuwa live kutoka Jangwani.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mambo shaghalabaghala Jangwani

Wakati muda wa `mapumziko’ ya bomoabomoa ukimalizika leo huku jaribio la kupata zuio la muda likiwa limewekwa kiporo, wakazi wa Jangwani ambako nyumba zitaanza kubomolewa leo, jana waliweka mabango barabarani yanayotuma ujumbe wa aina mbalimbali kwa Rais John Magufuli.

 

11 years ago

GPL

MAMBO YAZIDI KUNOGA JANGWANI

Beki wa Yanga, Juma Abdul, akichuana na Mwinyi Ndimbo aliyenyuma yake. Jaja (kushoto) na Coutinho. Daktari Juma Sufian akimtibu Hamis Thabit baada ya kuumia kwenye mazoezi hayo.…

 

9 years ago

StarTV

Ukawa leo Jangwani

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mngurumi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kushirikiana na muungano wa vyama vingine vitatu vinavyounda umoja uliobatizwa jina la Ukawa, leo kinatarajiwa kuzindua kampeni zake katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.

Chama hicho kimetamba kufanya ufunguzi wa kampeni wa kihistoria.

Hatua hiyo imekuja baada ya chama hicho kuruhusiwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mngurumi, kutumia uwanja huo ambao awali...

 

11 years ago

GPL

MAFURIKO JANGWANI LEO

Sehemu ya kingo za barabara zikionekana kumegwa na mafuriko hayo.
Baadhi ya nyumba zilizoathirika kutokana mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea. Mkazi wa Jangwani…

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Jangwani Hapatoshi kuanzia leo

Licha ya mamlaka ya hali ya hewa kutangaza mvua kali na upepo na kuwataka watu wasitoke njee.watu wameamua kulala hapo hapo.

The post Jangwani Hapatoshi kuanzia leo appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa waanza kazi Jangwani leo

Mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa, ambaye leo atazindua kampeni zake kwenye viwanja vya Jangwani, jana aliamua kufunguka dhidi ya vitendo vya Jeshi la Polisi kupiga wananchi, akisema havikubaliki kwa kuwa vifaa vinavyotumika vinanunuliwa na kodi wanazokatwa.

 

11 years ago

GPL

9 years ago

GPL

MAELFU WALIVYOMPOKEA MAGUFULI JANGWANI, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Makamu wake, Gharib Bilal (Kushoto) katikati ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein. Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, John Pombe Magufuli akiwasalimia Wana-CCM waliofika viwanjani hapo.…

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli kunguruma viwanja vya Jangwani leo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajiwa kuzindua kampeni zake za urais, ubunge na udiwani nchi nzima katika viwanja vya Jangwani leo, katika mkutano utakaorushwa moja kwa moja na televisheni na redio mbalimbali nchi nzima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani