Man United kufanya kliniki Dar
Mabingwa wa watetezi wa Ligi Kuu ya England, Manchester United kwa kushirikiana na kampuni ya huduma za simu za mkononi ya Airtel Tanzania watafanya kliniki kuanzia Aprili 23 -27, kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog10 Apr
Kliniki ya soka ya Man U kufanyika Dar
Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano akiongea na waandishi wa Habari wakati wa kutangaza Kliniki ya Kimataifa ya mpira wa soka ya Manchester United ambayo itafanyika Jijini Dar es Salaam April 23-27 chini ya wakufunzi kutoka Klabu ya Manchester United. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mashindano ya Vijana Ayoub Nyenzi.
-Kuendeshwa na wakufunzi wa Man U
-Kushirikisha nchi 12
-Tanzania kuwakilishwa na wachezaji 19
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imetangaza...
9 years ago
TheCitizen28 Sep
Man City slip allows Man United to claim summit
9 years ago
BBCSwahili29 Oct
Liverpool,Man City zashinda Man United nje
10 years ago
BBCSwahili03 Feb
FA: Man United kuivaa Cambridge United
5 years ago
FootballFanCast.Com07 Mar
Man United predicted XI to face Man City
9 years ago
BBCSwahili16 Sep
UEFA : Man United, Man City zachapwa
9 years ago
MillardAyo17 Dec
TOP 5 Stori: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola..
Kabla siku haijaisha mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee stori 5 za soka zilizoingia katika headlines siku ya December 17, kuna mengi yamezungumzwa katika stori za soka December 17 ikiwemo stori za kufukuzwa kwa mara ya pili kwa kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho. Hizi ndio TOP 5 ya stori za soka December 17. […]
The post TOP 5 Stori: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola.. appeared first on TZA_MillardAyo.