Kliniki ya soka ya Man U kufanyika Dar
Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano akiongea na waandishi wa Habari wakati wa kutangaza Kliniki ya Kimataifa ya mpira wa soka ya Manchester United ambayo itafanyika Jijini Dar es Salaam April 23-27 chini ya wakufunzi kutoka Klabu ya Manchester United. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mashindano ya Vijana Ayoub Nyenzi.
-Kuendeshwa na wakufunzi wa Man U
-Kushirikisha nchi 12
-Tanzania kuwakilishwa na wachezaji 19
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imetangaza...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Man United kufanya kliniki Dar
11 years ago
MichuziKliniki ya soka ya Airtel Rising Stars yanoga Uwanja wa Azam Complex
Mafunzo hayo yalioanza Jumatano kwenye Uwanja wa Azam Complex chini ya kocha mkuu Neil Scott kutoka katika shule za Manchester United.
Akitoa mafunzo hayo, Scott alisema lengo la mafunzo hayo ni kumfanya...
11 years ago
Dewji Blog22 Apr
Washiriki kliniki ya ARS wawasili Dar
Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius mara ya kupokea timu ya Airtel Rising Stars kutoka Sierra Leone ambao watahudhuria kliniki ya soka ya kimataifa ya Manchester United itayoanza Jumatano, 23-27 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Mchezaji Fatmata Mansaray wa timu ya Airtel Rising Stars chini ya miaka 17 kutoka Sierra Leone, akiongea na waandishi wa habari baada ya kufika Dar es Salaam kuhudhuria kliniki ya soka...
11 years ago
MichuziWashiriki wa kliniki ya Airtel Rising Stars kutua Dar Jumatatu
10 years ago
Dewji Blog25 Apr
Hospitali ya Apollo kuendesha kliniki ya ushauri wa magonjwa ya goti, nyonga, bega na mfumo wa fahamu Dar
Kufuatia idadi kubwa ya Watanzania ambao mara kwa mara husafiri kwenda India kwa sababu tofauti tofauti za kimatibabu, wataalamu kutoka Hospitali ya Apollo, Hyderabad, wamefikia uamuzi wa kutoa tiba na ushauri wa kitaalamu kwa Watanzania kupitia kiliniki maalumu ya siku mbili itakayofanyika Dar es Salaam. Kliniki hii maalum itaendeshwa na mtaalamu wa upasuaji wa mfumo wa fahamu, Dkt Alok Ranjan na mtaalamu wa upasuaji wa mifupa, Dkt Somasekhar Reddy katika hospitali ya Hindu Mandal tarehe...
10 years ago
Vijimambo05 Dec
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Tamasha la Kiswahili kufanyika Dar
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Kagame ‘Cup’ kufanyika Dar