Washiriki kliniki ya ARS wawasili Dar
Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius mara ya kupokea timu ya Airtel Rising Stars kutoka Sierra Leone ambao watahudhuria kliniki ya soka ya kimataifa ya Manchester United itayoanza Jumatano, 23-27 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Mchezaji Fatmata Mansaray wa timu ya Airtel Rising Stars chini ya miaka 17 kutoka Sierra Leone, akiongea na waandishi wa habari baada ya kufika Dar es Salaam kuhudhuria kliniki ya soka...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWashiriki wa kliniki ya Airtel Rising Stars kutoka nchini Sierra Leone wawasili nchini
11 years ago
MichuziWashiriki wa kliniki ya Airtel Rising Stars kutua Dar Jumatatu
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Kliniki ARS yafikia tamati
KLINIKI ya siku tano ya kimataifa ya Airtel Rising Stars (ARS), imefikia tamati jana, huku washiriki wakiwa na shauku kubwa ya kutumia ujuzi waliopata kwa kuwa nyota wa soka kwenye...
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Wanaume washiriki afya ya uzazi, jinsia kwa kusindikiza wake zao kliniki
Kaimu mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Joseph Sabore (anayeangalia kamera) akizungumza na maafisa wa shirika lisilo la kiserikali la Health Actions Promotion Association (HAPA), YMC na WaterAid Tanzania, ambao wako katika halmashauri hiyo kufanya tathimini ya mradi wa ushiriki sawa wa wanaume katika afya ya uzazi na ujinsia. Mradi huo unaotarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi 1.6 bilioni, unatekelezwa kwa kipindi cha miaka mitatu na unatarajiwa kufikia ukingoni...
9 years ago
Habarileo25 Aug
Mabingwa ARS Dar wazawadiwa
MICHUANO ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars (ARS) kwa mikoa ya kisoka ya Ilala, Kinondoni na Temeke, imefungwa rasmi jana kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam ambako mabingwa walikabidhiwa zawadi zao.
9 years ago
Habarileo29 Aug
Kinondoni, Ilala mabingwa ARS Dar
MICHUANO ya vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars (ARS) Mkoa wa Dar es Salaam chini ya Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), ilimalizika rasmi jana baada ya kushuhudia Kinondoni wakiibuka mabingwa kwa upande wa wasichana huku kwa upande wa wavulana Ilala wakiibuka mabingwa.
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Man United kufanya kliniki Dar
11 years ago
Dewji Blog10 Apr
Kliniki ya soka ya Man U kufanyika Dar
Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano akiongea na waandishi wa Habari wakati wa kutangaza Kliniki ya Kimataifa ya mpira wa soka ya Manchester United ambayo itafanyika Jijini Dar es Salaam April 23-27 chini ya wakufunzi kutoka Klabu ya Manchester United. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mashindano ya Vijana Ayoub Nyenzi.
-Kuendeshwa na wakufunzi wa Man U
-Kushirikisha nchi 12
-Tanzania kuwakilishwa na wachezaji 19
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imetangaza...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/kombani1.jpg?width=650)
MWILI WA WAZIRI KOMBANI WAWASILI DAR