Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabingwa ARS Dar wazawadiwa

MICHUANO ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars (ARS) kwa mikoa ya kisoka ya Ilala, Kinondoni na Temeke, imefungwa rasmi jana kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam ambako mabingwa walikabidhiwa zawadi zao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kinondoni, Ilala mabingwa ARS Dar

MICHUANO ya vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars (ARS) Mkoa wa Dar es Salaam chini ya Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), ilimalizika rasmi jana baada ya kushuhudia Kinondoni wakiibuka mabingwa kwa upande wa wasichana huku kwa upande wa wavulana Ilala wakiibuka mabingwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabingwa ARS wajazwa noti

TIMU ya soka ya wasichana ya Tanzania Airtel Rising Stars, imekabidhiwa zawadi yake ya kitita cha sh milioni 16 baada ya kutwaa ubingwa wa michuano ya vijana chini ya miaka...

 

9 years ago

Habarileo

Ilala, Temeke mabingwa ARS 2015

PAZIA la michuano taifa ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars Jumatatu wiki hii, lilifungwa rasmi ambapo Ilala walitoa kipigo cha mbwa mwizi cha magoli 4-0 dhidi ya Mbeya na kufanikiwa kutwaa ubingwa kwa upande wa wavulana, huku kwa upande wa wasichana,Temeke walifanikiwa kutwaa ubingwa baada ya kuwafunga majirani zao wa Kinondoni.

 

9 years ago

Habarileo

Temeke mabingwa Kombe la ARS 2015

MICHUANO ya soka ya Airtel Rising Stars kwa vijana chini ya umri wa miaka 17, ilifikia tamati ambapo timu ya wasichana ya Temeke walitwaa ubingwa baada ya kuwafunga majirani zao wa Kinondoni kwa penalti.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule, wanafunzi bora Dar wazawadiwa

KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi, amewataka viongozi wa elimu pamoja na wamiliki wa shule nchini kuwa na utaratibu wa kufanya tathimini za mara kwa mara...

 

11 years ago

Dewji Blog

Washiriki kliniki ya ARS wawasili Dar

IMG_0883

Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius mara ya kupokea timu ya Airtel Rising Stars kutoka Sierra Leone ambao watahudhuria kliniki ya soka ya kimataifa ya Manchester United itayoanza Jumatano, 23-27 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

IMG_0880

Mchezaji Fatmata Mansaray wa timu ya Airtel Rising Stars chini ya miaka  17 kutoka Sierra Leone, akiongea na waandishi wa habari baada ya kufika Dar es Salaam kuhudhuria kliniki ya soka...

 

10 years ago

Michuzi

Dar mabingwa mchezo wa vishale "Darts" Taifa

Machezaji wa vishale(Darts) wa klabu ya Friedz ya Tiptop Manzese jijini Dar es Salaam wakiwa wameshika kikombe mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya mchezo huo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.Friendz walizawadiwa Kikombe na Pesa taslimu Shilingi 100,000/=. Bingwa wa mchezaji mmoja mmoja (Singles) wa mchezo wa Vishale(Darts), Erry Boates kutoka klabu ya Lugalo akishangilia na kikombe mara baada ya kuibuka bingwa katika mashindano ya...

 

10 years ago

Michuzi

DAR ES SALAAM YAWA MABINGWA MICHUANO YA UMISETA TAIFA.

Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akifungua rasmi michuano ya UMISETA ngazi ya Taifa ambayo imemalizika leo asubuhi huko jijini Mwanza kwa mchezo wa fainali kati ya Dar es salaam dhidi ya Nyanda za juu Kusini wavulana, huku fainali nyingine kwa upande wa wasichana ikipigwa jana kati ya Dar es salaam dhidi ya Kanda ya Mashariki.Katika fainali ya jana wasichana, Dar es salaam wametawazwa kuwa mabingwa  baada ya kuwatandika bila huruma Kanda ya Mashariki kwa mabao 7-1,kwenye mchezo uliokuwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani